Unaamini katika uchawi? Tushirikishe uliyowahi kukumbana nayo

Dah af huwa hawakubali kabisa [emoji23][emoji23]
Kuna mzee mmoja alikua ni rafiki sana na mshua, huyu mzee alikua muuzaji wa magogo ya mbao, hua anaenda bush mwenyewe na kukata kisha kuja kuyauza mjini.

Huyu mzee biashara hii alikua akiifanya kimagendo kwasababu hakua na vibali vya serikali

Sasa siku moja wakati ameyabeba kwenye gari yake akiwa bush anayasafirisha kuja nayo mjini, kama mkosi ghafla mamwela nao hao wanamfukuza

Yule mzee akakimbiza gari yake mpaka kijijini kwao kisha akafunga break wale mamwela waliokua wanamfukuza wakasimama wakasema mzee hii gari pamoja na huu mzigo vinqpelekwa polisi.

Yule mzee akawaambia "haina shida hapa ndo nyumbani walilozika kitovu changu na gari yangu ipo katika usalama"

Wale mamwela wakawa wanapakua yale magogo na kuyaamishia kwenye gari lao, mzee alichokifanya ye akawa anachota mchanga kwenye taili za lile gari la polisi. Akatoka hapo akazoa tena mchanga ulioko kwenye taili za gari lake kisha akasema "haya vijana muwe na siku njema gari yangu hapo ipo kwenye usalama mi naondoka tutakutana hapo polisi"

Wale mapolisi wakasema "we mzee unatutishia uchawi unafikiri si tunaogopa"?

Mzew akawajibu akasema "hapana watawala na wakubwa zangu yanj neno dogo tu mnataka kulifanya kubwa, mi nimewaambia tu gari yangu ipo salama basi"

Mamwela wakampotezea wakafanya kilichowaleta kisha wakatambaa

Baada ya hapo miezi kadhaa ikapita

Sasa siku moja dingi yangu alikua anamginjwa hospitali, wakati ameenda kumtembelea akastuka kusikia sauti ya mtu ambaye alionekana akiita kwa shida sana, ndipo alipogeuka na kuona kuna mgonjwa kutoka kitanda cha nyuma kabisa ya wodi akinyoosha mkono ishara ya kuita

Aliposogea ndo akapata mshangao kua ni polisi wa misitu ndo alikua anamuita afu yupo katika condition mbaya sana. Yule polisi akamuambia mzee "samahani mzee nakuomba sana kaniombee msamaha kwa rafiki yako"

Mzee naye haamini uchawi akauliza "msahama wa nini kwani kakufanyia nini"?

Polisi akasema "nilipokua namkamata na kumpola magogo alikua anazoa mchanga naamini yeye ndio kanipa huu ugonjwa nakuomba ukaniombee msamaha"

Mzee hakutaka maneno mengi kwasababu aliona kumuongelesha na kumuuliza maswali ni kuzidi kumpa mateso mgonjwa kutokana na uongeaji wake kua wa shida na kuonesha kua yuko kwenye maumivu makali, so akamjibu sawa nitafanya hivyo

Sasa karudi kwa rafiki yake anampa habari kua yule poti aliyekukamata nimemkuta hospitali, 'naye huyu mzee akawa anastaajabu'

Mzee akamuambia rafiki yake kua yule poti "anakuomba msamaha" yule mzee akasema "jamani sio mimi itakua ni wengine wamemfanyia maana kawaudhi wengi, mi nilifanya vile kuwatisha tu nikiwa najua wataniachia mzigo wangu"

Yule mgonjwa alipoona hali inazidi kua mbaya akatuma na wazee waende kumuomba msamaha lakini jibu la yule mzee lilikua ni lile lile kua hausiki na yeye alifanya vile kwa kuwatisha tu wala si kivingine

Baada ya siku kadhaa yule mgonjwa akafariki
 
Kwa io uo wali Nazi na samaki uliopikwa mlikula au...!!

Kama hamkula mlifanya vibaya ni matumizi mabaya ya rasilimali
hiyo misosi iliyopikwa na jini mlikuwa mnakula au......

hiyo misosi iloyopikwa na jini mlikuw mnakula....
mwanzo ilikuwa inamwaga ila baadae ikawa inaliwa na hamna hata dhara tulilopata
 
Aiseee
Uchawi umeandikwa kwenye biblia na miujiza ya Yesu kufufua watu na Musa kutenganisha bahari imeandikwa. Leo watu hawafufuliwi, wagonjwa hawaponi, wala bahari hazigawanywi. Nafikiri na uchawi upo useless namna hiyo.

Pia ukiona mambo mengine watu kuwa n wanaamini ni ya kichawi wakati yana explanations za kisayansi, inafanya nizidi kuamini kuwa uchawi ni useless na hauna effect yoyote. Watu waanaamini kuwa vichaa wengi wamerogwa, wanaamini kuwa mabusha yanatokana na uchawi, wanaamini kifafa kinatokana na uchawi na majini. Wanaamini utajiri wa uchawi. Hayw mambo yote yanafanya kuamini uchawi hauna effect yoyote kama ambavyo leo hakuna miujiza ile ya kibliblia
 
Yawezekana ni kweli kama alivyosema aliwauzi wengi lakini vile vile mzee inawezekana alifanya yakwake
Kuna mzee mmoja alikua ni rafiki sana na mshua, huyu mzee alikua muuzaji wa magogo ya mbao, hua anaenda bush mwenyewe na kukata kisha kuja kuyauza mjini.

Huyu mzee biashara hii alikua akiifanya kimagendo kwasababu hakua na vibali vya serikali

Sasa siku moja wakati ameyabeba kwenye gari yake akiwa bush anayasafirisha kuja nayo mjini, kama mkosi ghafla mamwela nao hao wanamfukuza

Yule mzee akakimbiza gari yake mpaka kijijini kwao kisha akafunga break wale mamwela waliokua wanamfukuza wakasimama wakasema mzee hii gari pamoja na huu mzigo vinqpelekwa polisi.

Yule mzee akawaambia "haina shida hapa ndo nyumbani walilozika kitovu changu na gari yangu ipo katika usalama"

Wale mamwela wakawa wanapakua yale magogo na kuyaamishia kwenye gari lao, mzee alichokifanya ye akawa anachota mchanga kwenye taili za lile gari la polisi. Akatoka hapo akazoa tena mchanga ulioko kwenye taili za gari lake kisha akasema "haya vijana muwe na siku njema gari yangu hapo ipo kwenye usalama mi naondoka tutakutana hapo polisi"

Wale mapolisi wakasema "we mzee unatutishia uchawi unafikiri si tunaogopa"?

Mzew akawajibu akasema "hapana watawala na wakubwa zangu yanj neno dogo tu mnataka kulifanya kubwa, mi nimewaambia tu gari yangu ipo salama basi"

Mamwela wakampotezea wakafanya kilichowaleta kisha wakatambaa

Baada ya hapo miezi kadhaa ikapita

Sasa siku moja dingi yangu alikua anamginjwa hospitali, wakati ameenda kumtembelea akastuka kusikia sauti ya mtu ambaye alionekana akiita kwa shida sana, ndipo alipogeuka na kuona kuna mgonjwa kutoka kitanda cha nyuma kabisa ya wodi akinyoosha mkono ishara ya kuita

Aliposogea ndo akapata mshangao kua ni polisi wa misitu ndo alikua anamuita afu yupo katika condition mbaya sana. Yule polisi akamuambia mzee "samahani mzee nakuomba sana kaniombee msamaha kwa rafiki yako"

Mzee naye haamini uchawi akauliza "msahama wa nini kwani kakufanyia nini"?

Polisi akasema "nilipokua namkamata na kumpola magogo alikua anazoa mchanga naamini yeye ndio kanipa huu ugonjwa nakuomba ukaniombee msamaha"

Mzee hakutaka maneno mengi kwasababu aliona kumuongelesha na kumuuliza maswali ni kuzidi kumpa mateso mgonjwa kutokana na uongeaji wake kua wa shida na kuonesha kua yuko kwenye maumivu makali, so akamjibu sawa nitafanya hivyo

Sasa karudi kwa rafiki yake anampa habari kua yule poti aliyekukamata nimemkuta hospitali, 'naye huyu mzee akawa anastaajabu'

Mzee akamuambia rafiki yake kua yule poti "anakuomba msamaha" yule mzee akasema "jamani sio mimi itakua ni wengine wamemfanyia maana kawaudhi wengi, mi nilifanya vile kuwatisha tu nikiwa najua wataniachia mzigo wangu"

Yule mgonjwa alipoona hali inazidi kua mbaya akatuma na wazee waende kumuomba msamaha lakini jibu la yule mzee lilikua ni lile lile kua hausiki na yeye alifanya vile kwa kuwatisha tu wala si kivingine

Baada ya siku kadhaa yule mgonjwa akafariki
 
Umenikumbusha kipindi niko Form 5 rafiki yangu alipotelewa na Chupi yake siku 2 kabla ya Shule kufungwa. Tulitafuta sana mwishowe tukachoka tukasema kuna mjanja atakuwa amepita nayo kwenye kamba

Tulienda Nyumbani likizo ndefu kama Mwezi, Shule ilipofunguliwa tumerudi kila Mtu anafungua mazaga aliyopewa na Wazazi Chupi ikaonekana kwenye begi la Classmate wetu. Tulipomuuliza akasema ooh alipofika home aliikuta tuu kwenye begi.

Tulichukua ile Chupi Jumapili tukaenda nayo Kanisani tukamuomba Mchungaji aombeee. Tuliporudi Shule mchana tukaenda jikoni na kuitupa kwenye Moto. Baada ya siku 3 yule Classmate alitoka majibu yenye usaha sehemu za siri hata kutembea alikuwa hawezi

Mpaka leo hatuelewi kwamba alimfanyia Uchawi rafiki yangu kupitia ile Chupi na maombi yalifanya kibao kimrudie yeye au ni nini kilitokea hapo?
 
Uchawi/ushirikina/ulozi/wanga ni story za kusadikika zisizo na ukweli wowote. Story hizi za hearsay zinaaminiwa sana na kuenezwa na wajinga.

NB: ujinga sio tusi
 
Ni mwizi.

Kafanya ngono zembe kapata magonjwa ya zinaa ukizingatia mmetoka likizo.

Coincidence. Nikikwambia nitakuua na baadaye ugonjwe na gari ufe bila mimi kushiriki kwa namna yeyote ile, mimi ni mchawi?

Story zote za uchawi zipo kama yako, huwa zina lots of loopholes; coincidental; can be explained scientifically ila sababu miafrika hatupendi kuumiza vichwa tunakimbilia kusema uchawi; na hata zile ambazo hazina maelezo haimaanishi kwamba ni uchawi labda hatuna majibu yake kwa sasa.
 
Popote pasipo na elimu maarifa na teknologia uchawi ushamiri, uchawi umasikini na ujinga ni pacha.
Huna Kazi nzuri sababu ya elimu nzuri jioni umepewa laptop assignment kwa ajili ya morning call asubui usiku muda wa kwenda kuwanga uutoa wapi hali asubui unatakiwa uwahi foleni usichelewe ofisini.
 
Umenikumbusha kipindi niko Form 5 rafiki yangu alipotelewa na Chupi yake siku 2 kabla ya Shule kufungwa. Tulitafuta sana mwishowe tukachoka tukasema kuna mjanja atakuwa amepita nayo kwenye kamba

Tulienda Nyumbani likizo ndefu kama Mwezi, Shule ilipofunguliwa tumerudi kila Mtu anafungua mazaga aliyopewa na Wazazi Chupi ikaonekana kwenye begi la Classmate wetu. Tulipomuuliza akasema ooh alipofika home aliikuta tuu kwenye begi.

Tulichukua ile Chupi Jumapili tukaenda nayo Kanisani tukamuomba Mchungaji aombeee. Tuliporudi Shule mchana tukaenda jikoni na kuitupa kwenye Moto. Baada ya siku 3 yule Classmate alitoka majibu yenye usaha sehemu za siri hata kutembea alikuwa hawezi

Mpaka leo hatuelewi kwamba alimfanyia Uchawi rafiki yangu kupitia ile Chupi na maombi yalifanya kibao kimrudie yeye au ni nini kilitokea hapo?
Alipata ugonjwa wa zinaa huyo.
 
Uchawi umeandikwa kwenye biblia na miujiza ya Yesu kufufua watu na Musa kutenganisha bahari imeandikwa. Leo watu hawafufuliwi, wagonjwa hawaponi, wala bahari hazigawanywi. Nafikiri na uchawi upo useless namna hiyo.

Pia ukiona mambo mengine watu kuwa n wanaamini ni ya kichawi wakati yana explanations za kisayansi, inafanya nizidi kuamini kuwa uchawi ni useless na hauna effect yoyote. Watu waanaamini kuwa vichaa wengi wamerogwa, wanaamini kuwa mabusha yanatokana na uchawi, wanaamini kifafa kinatokana na uchawi na majini. Wanaamini utajiri wa uchawi. Hayw mambo yote yanafanya kuamini uchawi hauna effect yoyote kama ambavyo leo hakuna miujiza ile ya kibliblia
Kwa kutumia sayansi tuelezee jinsi nguo zilivyo kua zina fuliwa, switch ya taa kujiwasha na kuzima na kushikwa na mtu usie muona
 
Uchawi/ushirikina/ulozi/wanga ni story za kusadikika zisizo na ukweli wowote. Story hizi za hearsay zinaaminiwa sana na kuenezwa na wajinga.

NB: ujinga sio tusi
Inategemea upo sehemu gani na unafanya nn.
Ushahidi Mimi nachimba madini cha ajabu kifusi kikavu kilichotolewa shimoni kinarejea chenyewe shimoni, chemchem inatoka yenyewe sehemu iliyokavu na kuelekea shimoni,kijiko kikifika shimoni kinakosa nguvu ya kuchimba yaani ukirudi rivas mbali na shimo ni kizima.
 
Nimewekeza kwenye madini hamna cha ajabu zaidi ya story tu za hearsay kama hii yako.
 
Mtoa mada kaanza na swali " Do you believe in witchcraft"?

Maana yake ni "Je Unaamini uchawi"

Kama unaamini share your experience

Hajasema kama huamini utoe somo ambalo ni hakika kabisa mtu anaeamini mambo hayo hatalitia maanani
 
Back
Top Bottom