Unaamini Marais wa kiafirika huwa wanawaroga wananchi wao ili wawe makondoo wawafanye wanavyotaka

Unaamini Marais wa kiafirika huwa wanawaroga wananchi wao ili wawe makondoo wawafanye wanavyotaka

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Yaani kuna wachawi wanaroga wananchi wa inchi nzima halafu mnakuwa kama maiti zirizo lala hakuna wa kuhoji wala kuuliza,
wale wazee wenzangu mliokuwepo wakati wa utawala wa nyerere mtakuwa mnalikumbuka hilo
Yaani Rais inchi nzima inaiweka kwenye kiganja chake anawafanya anavyotaka,
ngoja tusubiri hizi vurugu zipite turudi tuwe makondoo kama zamani,cha muhimu ukilitambua na kulijua hili madawa yao hayakupati
 
Kama ni hivyo miungu haifanyi kazi tena
 
Waafrika ndiyo wanajua kuloga tu? Hakuna uchawi wowote. Ni kutojitambua tu. Africa bado ina watu wengi sana ni primitive.
 
Amini ninachokwambia siyo kila kitu duniani utakijua,kama Rais yuko kwa ajili ya wanainchi wake basi atawasaidi lakini kama ni fisadi ataishia kuwafunga mpaka watu wakawashangaa mfano Zaire ya Mabuto
 
Wanatumia siraha kuu kama Dini, Mpira, Muziki, na mwisho yale matamasha yao ya kichawi ya mwenge wa uhuru, bila shaka haya ndio mambo waliyoyategemea kuharibu fikra za Mtanzania ila kwa sasa wameshindwa.

Nchi ikikombolewa actors wote wa hizo saccos za kuhujumu fikra za Mtanzania watatakiwa kupewa hukumu kali.
 
Back
Top Bottom