Unaamini nini katika utafutaji katika kukimbia umasikini

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hi

Mimi kwa upande wangu naamini katika kuanza na kidogo na kukithamini naamini hakuna alie anza na kikubwa na kama yupo wengi walishindwa kukithamini kikubwa

Vijana now days wanataka kuanza na mshahara mkubwa kuliko elimu yao na uwezo wao najiamini katika kazi na kipaumbele changu siku zote kufanya kazi bora ili ilete good impact how about you
 

Kuna maeneo mengine hata ujitume vipi utabaki kuwapa credit wakuu wako wa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…