Unaamini nini katika utafutaji katika kukimbia umasikini

Biashara zipi ukifanya unaweza fika hizo sehem ??? Mfano me nauza nguo nataka nijue nitakapofika
Kuna vitu ukivifanya hata ufanyaje kuna sehemu hutafika...i mean kuna grade ya maisha usitarajie kabisa kufika kwa kazi fulani au biashara fulani..
 
Biashara zipi ukifanya unaweza fika hizo sehem ??? Mfano me nauza nguo nataka nijue nitakapofika
Kwahyo biashara kuna mafanikio usifikirie kufika...kuna sehemu ikifika itakua hapohapo ..yani kuna level itakufikisha...ili upite kwenda level nyingine lazima tena uache hiyo ya nguo...(lakini pia tunatofautiana mitazamo ya kufanikiwa)
 
Ila sio lazima kuacha ila kufanya maboresho zaid kuendana na wakat
 
Kwahyo biashara kuna mafanikio usifikirie kufika...kuna sehemu ikifika itakua hapohapo ..yani kuna level itakufikisha...ili upite kwenda level nyingine lazima tena uache hiyo ya nguo...(lakini pia tunatofautiana mitazamo ya kufanikiwa)

Kwahyo biashara kuna mafanikio usifikirie kufika...kuna sehemu ikifika itakua hapohapo ..yani kuna level itakufikisha...ili upite kwenda level nyingine lazima tena uache hiyo ya nguo...(lakini pia tunatofautiana mitazamo ya kufanikiwa)
Biashara zipi ni za Moja Kwa Moja ?
 
Back
Top Bottom