Kuna vitu ukivifanya hata ufanyaje kuna sehemu hutafika...i mean kuna grade ya maisha usitarajie kabisa kufika kwa kazi fulani au biashara fulani..
Kwahyo biashara kuna mafanikio usifikirie kufika...kuna sehemu ikifika itakua hapohapo ..yani kuna level itakufikisha...ili upite kwenda level nyingine lazima tena uache hiyo ya nguo...(lakini pia tunatofautiana mitazamo ya kufanikiwa)Biashara zipi ukifanya unaweza fika hizo sehem ??? Mfano me nauza nguo nataka nijue nitakapofika
Katika upande upi wa biashara au?Yote yanategemea na factors nyingi sana ikiwemo mazingira na watu wanaokuzunguka
Nakubalian na ww kabisaConfidence+ positivity+fearless+ thoughts into actions
Ila sio lazima kuacha ila kufanya maboresho zaid kuendana na wakatKwahyo biashara kuna mafanikio usifikirie kufika...kuna sehemu ikifika itakua hapohapo ..yani kuna level itakufikisha...ili upite kwenda level nyingine lazima tena uache hiyo ya nguo...(lakini pia tunatofautiana mitazamo ya kufanikiwa)
Hata ukiboresha...kuna level ukifika huwez kuvuka...unless uamue ku maintain hapohapoIla sio lazima kuacha ila kufanya maboresho zaid kuendana na wakat
Mm siamin ilo juhud zako labda kuwep na watu watakao kukwamishaHata ukiboresha...kuna level ukifika huwez kuvuka...unless uamue ku maintain hapohapo
Asante, nimekuelewa.!supper-night meal
Super- very good or pleasant
Kwahyo biashara kuna mafanikio usifikirie kufika...kuna sehemu ikifika itakua hapohapo ..yani kuna level itakufikisha...ili upite kwenda level nyingine lazima tena uache hiyo ya nguo...(lakini pia tunatofautiana mitazamo ya kufanikiwa)
Biashara zipi ni za Moja Kwa Moja ?Kwahyo biashara kuna mafanikio usifikirie kufika...kuna sehemu ikifika itakua hapohapo ..yani kuna level itakufikisha...ili upite kwenda level nyingine lazima tena uache hiyo ya nguo...(lakini pia tunatofautiana mitazamo ya kufanikiwa)