Unaamka asubuhi hakuna maji,sekunde kadhaa unaambiwa ukamkamate mtu kwakuwa ameandika mtandaoni kuwa mtaa wake hauna maji. Ni kazi yako unibidi utii

Unaamka asubuhi hakuna maji,sekunde kadhaa unaambiwa ukamkamate mtu kwakuwa ameandika mtandaoni kuwa mtaa wake hauna maji. Ni kazi yako unibidi utii

Kwa kiherehere cha jamaa lazima ukamataji ufanyike.Na wakati anaitika ili aondoke atajishika upande wa juu kulia wa jicho lake na kusema..."will do,shall do sir"...!
 
Iko hivi

Vile vyombo huwa vinatengeneza mazingira ya watu wachache kuishi vizuri sana.... Huku wengi wakiwa na maisha ya chini, huku wakiaminishwa kuwa ukikaza utakuja kufikia level za wenzako.

Kwahiyo usishangae kuona mtu asiye na maji anaenda kumpiga mtu anayedai maji, imani yake ni kwamba siku moja atakaa kule ambako maji na umeme havikatiki
 
Mtendaji wa Halmashauri anayeishi Ukonga Banana na kibarua cha kuzuia pikipiki zisiingie mjini kati. Mtumishi huyu kwa jeuri kabisa ya kimasikini yuko radhi kumtoa ngeu yule anayegoma kutoa ushirikiano.

Cha kushangaza sasa mtumishi huyo huyo jioni anaporejea kwake Banana na kukumbana na foleni za kufa mtu, anageuka kuwa mtetezi wa bodaboda na kuomba lifti.... 😲
 
Back
Top Bottom