Iko hivi
Vile vyombo huwa vinatengeneza mazingira ya watu wachache kuishi vizuri sana.... Huku wengi wakiwa na maisha ya chini, huku wakiaminishwa kuwa ukikaza utakuja kufikia level za wenzako.
Kwahiyo usishangae kuona mtu asiye na maji anaenda kumpiga mtu anayedai maji, imani yake ni kwamba siku moja atakaa kule ambako maji na umeme havikatiki