M mwakapalila New Member Joined Dec 16, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jun 27, 2013 #1 Haya ni maneno aliyo yatabiri baba wa taifa akiwa kama mtu mwenye maono ya mbali sana kwakindi kile ilikua kama vigumu sana kuyatambua maneno haya lakini leo tunashuhudia kwa macho na masikio yetu wenyewe!
Haya ni maneno aliyo yatabiri baba wa taifa akiwa kama mtu mwenye maono ya mbali sana kwakindi kile ilikua kama vigumu sana kuyatambua maneno haya lakini leo tunashuhudia kwa macho na masikio yetu wenyewe!
mwenezi JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 506 Reaction score 108 Jun 27, 2013 #2 huyu aliku visionary leader.hawa wengine maboya tu.
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 Jun 27, 2013 #3 I cant agree more
S shabani hassani JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 248 Reaction score 34 Jul 15, 2013 #4 Babu halikuwa mbinfsi yeye ndio kutuhachia majanga hangali mikoaa ya kusin bora halivyo kufa mapema
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,238 Reaction score 5,106 Jul 15, 2013 #5 shabani hassani said: Babu halikuwambinfsi yeye ndio kutuhachia majanga hangali mikoaa ya kusin bora halivyo kufa mapema Click to expand... Hayo yote yanasabishwa nauelewa wako mdogo. Pia elimu ndogo inachangia pia. (soma elimu dunia uelewe)
shabani hassani said: Babu halikuwambinfsi yeye ndio kutuhachia majanga hangali mikoaa ya kusin bora halivyo kufa mapema Click to expand... Hayo yote yanasabishwa nauelewa wako mdogo. Pia elimu ndogo inachangia pia. (soma elimu dunia uelewe)
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,930 Jul 15, 2013 #6 Yalimshinda akang'atuka, watu watawekeza, wanaolala walale. Uchumi mnao mnaukalia.
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,930 Jul 15, 2013 #7 shabani hassani said: Babu halikuwa mbinfsi yeye ndio kutuhachia majanga hangali mikoaa ya kusin bora halivyo kufa mapema Click to expand... Huo ni ukweli usiopingika. Aliiuwa nchi ikawa hohehahe.
shabani hassani said: Babu halikuwa mbinfsi yeye ndio kutuhachia majanga hangali mikoaa ya kusin bora halivyo kufa mapema Click to expand... Huo ni ukweli usiopingika. Aliiuwa nchi ikawa hohehahe.