unabii huu sasa umetimia...... uliona mbali.

unabii huu sasa umetimia...... uliona mbali.

mwakapalila

New Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Haya ni maneno aliyo yatabiri baba wa taifa akiwa kama mtu mwenye maono ya mbali sana kwakindi kile ilikua kama vigumu sana kuyatambua maneno haya lakini leo tunashuhudia kwa macho na masikio yetu wenyewe!


625656_494135030643673_1905846492_n.jpg
 
huyu aliku visionary leader.hawa wengine maboya tu.
 
Babu halikuwa mbinfsi yeye ndio kutuhachia majanga hangali mikoaa ya kusin bora halivyo kufa mapema
 
Babu halikuwambinfsi yeye ndio kutuhachia majanga hangali mikoaa ya kusin bora halivyo kufa mapema
Hayo yote yanasabishwa nauelewa wako mdogo. Pia elimu ndogo inachangia pia. (soma elimu dunia uelewe)
 
Yalimshinda akang'atuka, watu watawekeza, wanaolala walale. Uchumi mnao mnaukalia.
 
Back
Top Bottom