Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu la kuiondoa serikali iliyopo madarakani ya wakati huo sijui itakuwa ipi ni suala la muda na kusubiri.
Lakini pamoja na nguvu kubwa ya serikali itakayotumia wakati huo haitafanikiwa nchi itaingia kwenye machafuko ya kutisha kuanzia uchumi, siasa na jamii kwa ujumla wake na kwa mara ya kwanza serikali iliyopo madarakani itaondoshwa kwa nguvu ya wananchi ikisaidia na kikundi kidogo cha jeshi kitakachokuwa upande wa wananchi wakati huo.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.