Mule mule Kasie nipe muda nitakuja na uchambuzi na ufafanuzi wakeHivi mkekuu, hizi biashara za networking marketing nazo zimekaaje? Ile mnanunua bidhaa na kuzitumia ila hamna kuona kiwanja chake wala wasambazaji wala matawi ya hiyo kampuni. Kila anyejiingiza ndo anakuwa chain supplier......
Halafu Ukifika level flani ya kuwaingiza wanachama wapya unapelekwa nje ya nchi trip kuonana na muanzilishi wa hizo bidhaa na kupata hela mingi mingi......
Mfano wa hizo biashara ni forever living, gold, Trevor, tiens, bf suma, edmark etc. .....
Wazizungumziaje hizi na watu kujiunga na huu unabii wa mpinga Kristo? ...... just thinking aloud.
Barcode hata iweje haikosi mistari sita mwanzo kati kati na mwishoni ambayo aidha ni mirefu kuliko mingine au imekolea rangiMkuu Mshana jr , hiyo ya bar code naomba nieleweshe unaisomaje? Nimeangalia code zote mbili hapo juu , ile kwanza kabisa na ile nyingine yenye rangi blue nyeusi na nyekundu . hizo 6 mnazisomaje?
Barcode hata iweje haikosi mistari sita mwanzo kati kati na mwishoni
Sawa bro..Mkristo
Wewe ni mkristo?Hivi mbona mi cwaelewi humu? Naona mleta mada kauliza swali na ma sita sita kibao, kwani kulikoni, mbona mleta mada ameleta mada utadhani wajumbe wote humu wanaijua hyo mada!? Ilipasa utie na maneno kidogo ili tusiojua tuelewe japo kwa uchache hayo yaliyoulizwa kama yametimia wakuu!
Muombee maguDUH,HATARI SANA HII,NI KUMUOMBA MUNGU NA KUMKIRI YEYE TU HAKUNA NAMNA
NdioWewe ni mkristo?
Mule mule Kasie nipe muda nitakuja na uchambuzi na ufafanuzi wake
Hili nahitaji kujifunza zaidi pamoja na "cloning".Wanasayansi wamesema kutokana na ongezeko la watu duniani tunakokwenda hatutaweza kukidhi mahitaji ya chakula kwa kila mtu, wamekwishaanza jaribio la kuotesha nyama kwenye laboratory, cells za mnyama zinachukuliwa na zinazalishwa kuwa nyama inayofaa kwa matumizi ya binadamu.