Unabii umetimia?

Unabii umetimia?

Hivi mkekuu, hizi biashara za networking marketing nazo zimekaaje? Ile mnanunua bidhaa na kuzitumia ila hamna kuona kiwanja chake wala wasambazaji wala matawi ya hiyo kampuni. Kila anyejiingiza ndo anakuwa chain supplier......

Halafu Ukifika level flani ya kuwaingiza wanachama wapya unapelekwa nje ya nchi trip kuonana na muanzilishi wa hizo bidhaa na kupata hela mingi mingi......

Mfano wa hizo biashara ni forever living, gold, Trevor, tiens, bf suma, edmark etc. .....

Wazizungumziaje hizi na watu kujiunga na huu unabii wa mpinga Kristo? ...... just thinking aloud.
Mule mule Kasie nipe muda nitakuja na uchambuzi na ufafanuzi wake
 
Mkuu Mshana jr , hiyo ya bar code naomba nieleweshe unaisomaje? Nimeangalia code zote mbili hapo juu , ile kwanza kabisa na ile nyingine yenye rangi blue nyeusi na nyekundu . hizo 6 mnazisomaje?
 
Mkuu Mshana jr , hiyo ya bar code naomba nieleweshe unaisomaje? Nimeangalia code zote mbili hapo juu , ile kwanza kabisa na ile nyingine yenye rangi blue nyeusi na nyekundu . hizo 6 mnazisomaje?
Barcode hata iweje haikosi mistari sita mwanzo kati kati na mwishoni ambayo aidha ni mirefu kuliko mingine au imekolea rangi
e5fbf3baf8a294e97f999b5f82c9ac88.gif
 
Hivi mbona mi cwaelewi humu? Naona mleta mada kauliza swali na ma sita sita kibao, kwani kulikoni, mbona mleta mada ameleta mada utadhani wajumbe wote humu wanaijua hyo mada!? Ilipasa utie na maneno kidogo ili tusiojua tuelewe japo kwa uchache hayo yaliyoulizwa kama yametimia wakuu!
 
Wewe ni mkristo?
 
Kinachonipa amani kila siku ni kwamba utambulisho wa Mungu wangu (Bwana wa vita) ni ushindi siku zote mana na sisi kwa kuwa tumezaliwa na yeye tutashinda yote hakun haja ya kuwa na hofu ndugu zangu tumwamini Mungu tusome Maandiko yake tuijue kweli, tuone amani mioyoni mwetu siku zetu zote za maisha yetu. Msiogope Neema ya Mungu bado ipo na itaemdelea kuwepo kwa wale wampendao.
 
Mule mule Kasie nipe muda nitakuja na uchambuzi na ufafanuzi wake

Naomba ukifanya huo ufafanuzi unitag tafadhali maana mention naona sikuhizi haitoi notification.
Thanks.

Maana ya haya yote ni kuwa tayari wakati wote.
 
Wanasayansi wamesema kutokana na ongezeko la watu duniani tunakokwenda hatutaweza kukidhi mahitaji ya chakula kwa kila mtu, wamekwishaanza jaribio la kuotesha nyama kwenye laboratory, cells za mnyama zinachukuliwa na zinazalishwa kuwa nyama inayofaa kwa matumizi ya binadamu.
Hili nahitaji kujifunza zaidi pamoja na "cloning".

Kaka
 
Naomba ukifanya huo ufafanuzi unitag tafadhali maana mention naona sikuhizi haitoi notification.
Thanks.

Maana ya haya yote ni kuwa tayari wakati wote.
Soory Kasie ndio naiona reply leo hii just imagine![emoji23]
 
Back
Top Bottom