Unabii(uprophet) na uaskofu makanisa mapya unatolewa na nani?

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Kuna utitiri wa manabii na maaskofu wapya kila kukicha, wapata vipi hiyo hadhi? Na uzuri wana waumini wengi wanaoamini kisawasawa hasa mama zetu.
 
Zawadi ya Upako inatoka akilini mwako. Si mawinguni kama unavyofikiria
 
Back
Top Bottom