Hivi ukitoa hizo ngonjera za biblia, kiuhalisia kuna ushahidi wa uwepo wa historia inayoonesha kulikuwa na taifa la israel?, haya basi hata mabaki ya magofu ya kale waliyotumia hao wa Israel yapo?
Au basi tuseme documents zozote zinazoonesha mahala hapo palikuwa milki ya taifa la hao wa Israel miaka 2000 iliyopita zipo hizo documents?, haya basi tuseme ushahidi unaoonesha kulikuwako na mtu aitwae yesu/yeshua/jesus miaka 2000 iliyopita upo?.
Kiuhalisia hilo taifa halina uhusika wowote na hiyo israel ya biblia ambayo nayo haijawai kuwepo zaidi ya kuundwa undwa na wazungu waliojivika uhusika usiowahusu, kama hao waIsrael wenu wangekuwa wamiliki wa hilo taifa basi hata DNA yao ingematch na hao wapalestina ambao kimsingi ndio majirani zao ambao kibaolojia walitakiwa kuendana nao, the same thing kwa mtu wa East afrika lazima awe na mfanano wa kibaolojia na watu wa East Africa no matter how long time it take awe mbali na eneo hilo sayansi ya vinasaba haidanganyi.
Someni historia muache kudanganywa na wachungaji wenu vilaza humo makanisani ambao wengi wao hata shule walikimbia zaidi zaidi wameishia kukakalili biblia ambayo stories zake hazina maana.