Unabii wa Israeli kurudi na kusimama tena – na ulivyotimia kihistoria na kisasa

Hakuna taifa lisilo na mashoga
Ila Kuna mataifa yanayokataza ushoga na yapo yaliyo bariki ushoga
Nazani hata ww unajua ilo
Haufichwi uko wazi,,, labda tujiulize..hivi kuna taifa hapa duniani lisilo na fagot/mshumaa/mapapai/machoko/mapunga???
 
Kupitia Ukristo wa kisasa kupitia makanisa ya kufoka foka Ukristo ulioasisiwa marekani wenye ajenda ya kuipa nguvu Israel kupitia propaganda
Ukristo WA kisasa ni WA manabii mitume ña wahubiri wa mafañikio Tu.Evangelical walikuwepo zamani Sana...

Kingine ujue Hakuna habari ya greater Israel tena...Ilishapita na haitakiwepo tena.
 
Stupid nyani...
Cha ajabu hao waisraeli hawaijui bibilia nini?

 
Hua wanabisha lakn moyoni mwao nafs zinawasuta
 
Hakuna taifa lisilo na mashoga
Ila Kuna mataifa yanayokataza ushoga na yapo yaliyo bariki ushoga
Nazani hata ww unajua ilo
Umeeleza sahihi kabisa...Shoga ni kama kichaa au ni mtu kwenye kiçhaa au mapungufu ya akili...Hata umkataze au umfungie ndañi bado haijawa tiba au suluhu ya shida yake ya kupungua au kutokuwa na akili kabisa.
 
Mkuu ivi Israel Ina wachungaji wanaofanya miujiza kama wachungaji wetu huku.😃😃
Maana huku wanajaza gesi Kwa mdomo mara wanaoteshwa unabii
Huku matapeli wengi
 
Ukristo WA kisasa ni WA manabii mitume ña wahubiri wa mafañikio Tu.Evangelical walikuwepo zamani Sana...

Kingine ujue Hakuna habari ya greater Israel tena...Ilishapita na haitakiwepo tena.
Ukristo wa kizayuni ule wa kuweka bendera ya Israel kwenye madhau.
Hata Yesu hautambuu Ukristo huu.
Wa kukata viuno na densi za mikatiko ya ngono makanisani.
Plus kubana pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…