Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hello
Shalom
Najua kwasababu ya upofu walionao watu ni rahisi sana mtu anayeitwa nabii kuchukiwa.
Hata kanisa linalojinasibu kuhubiri Injili siku ukiitwa nabii au ukijiita nabii tayari umeshatangaza vita. Hii ni kwasababu watu wengi wanapenda mavazi ya Kimungu na kufanya kazi za Mungu lakini mioyoni mwao hawana MUNGU. Wanakwenda kwa kupapasa tu.
Hawajawahi kumuona kwa macho huyo wanayemtumikia, wala kusikia sauti yake. Ni vipofu totally.
Back to the topic.
Mwezi huu wa 8 roho za mauti zitafanya kazi kwa kiwango kikubwa sana. Sana, sana, sana.
Mauti kwenye mazao,
Mauti kwenye ndoa
Mauti kwenye uchumba
Mauti kwenye biashara n.k
Ushauri.
Fanya maombi ya kivita kukataa roho ya mauti kwenye kazi yako, ndoa yako, maisha yako n.k
Ikiwezekana toa sadaka kwenye madhabahu yoyote unayoismini. Usitoe sadaka kwa watumishi wahuni wahuni.
Familia nyingi zitalia mwezi huu. Zingatia hayo juu ili kuinusuru familia yako na vilio.
Ubarikiwe.
It's August not July.
Sorry for the title