Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Nov 22, 2022 #1 Mwl Nyerere aliweza kutabiri kwa usahihi kabisa wangetokea Wanasiasa wajinga,wapuuzi ambao kazi kubwa ngekuwa kusifu tu. Dr Kigwangallah,Msukuma,Kibajaji .....
Mwl Nyerere aliweza kutabiri kwa usahihi kabisa wangetokea Wanasiasa wajinga,wapuuzi ambao kazi kubwa ngekuwa kusifu tu. Dr Kigwangallah,Msukuma,Kibajaji .....
kaligopelelo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 2,832 Reaction score 4,070 Nov 23, 2022 #2 Huo siyo utabiri Wala unabii,haya ni matamanio. Nyerere hapa alikuwa anatamani kuona vijana wanakuwa hivyo,na hakuwa na uhakika sana kama ingewezekana. Ingekuwa unabii angesema kitakuja kizazi Cha vijana jeuri.....
Huo siyo utabiri Wala unabii,haya ni matamanio. Nyerere hapa alikuwa anatamani kuona vijana wanakuwa hivyo,na hakuwa na uhakika sana kama ingewezekana. Ingekuwa unabii angesema kitakuja kizazi Cha vijana jeuri.....
fidel castro wapili JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 3,497 Reaction score 2,911 Nov 23, 2022 #3 Ujeuri wenyewe unatokea wapi? Wakati ukiwa jeuri unashughulikiwa au wanakukolimba!
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,761 Reaction score 4,926 Nov 23, 2022 #4 nyerere hakuwa nabii alikuwa muonevu alidhulumu nyumba nyingi za watu na kuziandika NHC
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Nov 23, 2022 #5 Aisee.