UNACHANGISHA BIL.100 KWENDA KWENYE UCHANGUZI ILI USHINDANE NA VIKARAGOSI VYAKO ULIVYOVICHONGA MWENYEWE

Morning Glory1

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2019
Posts
475
Reaction score
936
Kama wewe ni binadamu na unapumua lakini mpaka dakika hii bado haujamuelewi ndugu.Humphrey polepole ambao Genge la wahuni wamembatiza jina jipya la Ndugu.mbiombio basi wewe utakua ni kilaza wa mwisho uliewai kuishi katika duniani katika karne hii au wewe ni sehemu ya wale wahuni waliotuharibia nchi hii

Hivi kweli maCCM yanachangisha bil.100 kwenda kwenye uchaguzi kushindani na vikaragosi vyao na vikatuni vyao na vimidoli vyao walivyovichonga wenyewe na bado kuna madaktari na maprofesa wanamshauri yule mama wa kizimkazi aendelee kuita huu ni uchanguzi?!

Sijawai kuona chama kimejaa vilaza km CCM.mimi na elimu yangu ya kayumba siwezi kufanya huo ujinga..
Ila itoshe kusema tu kua bila chadema bila reforms tanzania hakuna uchaguzi mwaka huu.Period
 
Ukweli ni kuwa ata Samia anaona kabisa uchaguzi huu umedoda,kina Salimu mwalimu na Mpina hawajabadili kitu
 
Kama wewe ni binadamu na unapumua lakini mpaka dakika hii bado haujamuelewi ndugu.Humphrey polepole ambao Genge la wahuni wamembatiza jina jipya la Ndugu.mbiombio basi wewe utakua ni kilaza wa mwisho uliewai kuishi katika duniani katika karne hii au wewe ni sehemu ya wale wahuni waliotuharibia nchi hii

Hivi kweli maCCM yanachangisha bil.100 kwenda kwenye uchaguzi kushindani na vikaragosi vyao na vikatuni vyao na vimidoli vyao walivyovichonga wenyewe na bado kuna madaktari na maprofesa wanamshauri yule mama wa kizimkazi aendelee kuita huu ni uchanguzi?!

Sijawai kuona chama kimejaa vilaza km CCM.mimi na elimu yangu ya kayumba siwezi kufanya huo ujinga..
Ila itoshe kusema tu kua bila chadema bila reforms tanzania hakuna uchaguzi mwaka huu.Period
Jana Gwajima alimuita yule mama kama kilaza wa mwisho.

CCM inafanya mambo ambayo ni impunity kwa viwango vya juu kabisa.

Sita badili hii kauli CCM inaelekea kufa, huwezi ukawa na akili timamu ukamsimamisha Samia kama mgombea Urais
 
Kama wewe ni binadamu na unapumua lakini mpaka dakika hii bado haujamuelewi ndugu.Humphrey polepole ambao Genge la wahuni wamembatiza jina jipya la Ndugu.mbiombio basi wewe utakua ni kilaza wa mwisho uliewai kuishi katika duniani katika karne hii au wewe ni sehemu ya wale wahuni waliotuharibia nchi hii

Hivi kweli maCCM yanachangisha bil.100 kwenda kwenye uchaguzi kushindani na vikaragosi vyao na vikatuni vyao na vimidoli vyao walivyovichonga wenyewe na bado kuna madaktari na maprofesa wanamshauri yule mama wa kizimkazi aendelee kuita huu ni uchanguzi?!

Sijawai kuona chama kimejaa vilaza km CCM.mimi na elimu yangu ya kayumba siwezi kufanya huo ujinga..
Ila itoshe kusema tu kua bila chadema bila reforms tanzania hakuna uchaguzi mwaka huu.Period
Mshauriwa ni kichwa cha nazi. Kimejaa urojo
 
Remember, they have to finance those vikaragosi as well; where are they going to get the money for VIKARAGOSI? They have to take some from the Tanzanian tycoons
 
Back
Top Bottom