Unachokitafuta kwa mchepuko, kuna mtu kakiona kwa mke wako

Unachokitafuta kwa mchepuko, kuna mtu kakiona kwa mke wako

Ester505

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
793
Reaction score
1,049
Nawasalimu kwa salaamu pendwa,ya kitaifaaa.

Kazi iendeleee.

Endelea na kazi ya kukitafuta hicho kitu kwa mchepuko, lakini kumbuka Kuna mtu KAKIONA kwa mkeo.

Na tukumbushane tu kuwa, ukisema cha Nini wenzio wanalia wanasema watakipata lini.

TULIA KWA MKEO.
 
Haya maisha never take seriously kama unachepuka wewe chepuka na ishi kama huna mke utaenjoy sana.
 
Hata ututishe vipi ..wanaume hadi akili iturudie ni hadi kichwa cha chini kitimize malengo yake.
 
Nawasalimu kwa salaamu pendwa,ya kitaifaaa.
Kazi iendeleee.
Endelea na kazi ya kukitafuta hicho kitu kwa mchepuko,lakini kumbuka Kuna mtu KAKIONA kwa mkeo.
Na tukumbushane TU kuwa,ukisema Cha Nini wenzio wanalia wanasema watakipata lini.
TULIA KWA MKEO.
Ipo wazi but who cares?
 
Back
Top Bottom