Unachopaswa kujua kuhusu Ushoga

Una rejea yoyote mkuu?

Kaka ...
 
Ipo poa sana, sasa wewe unae quote text ndefu hv afu una comments vimistari viwili tu lengo lako ni kutusumbua ku scrow down au?
 
Baada ya kuona kundi la mashoga toka pande mbali mbali za nchi tena wengi toka mikoa ambayo huwezi hata kuidhania pale kunduchi hotel wakiwa kwenye semina Disemba mwaka jana ndipo nilipo amini kuwa hili tatizo ni kubwa kuliko tunavyolifikiria
 
Umejitahidi kusound kama msomi ila umefeli.
Waraka wako mrefu umeshindwa kutofautisha baina ya ushoga na kitendo cha kulawiti. Dhana nzima ya ushoga ni geni katika jamii zetu kwa kuwa it was something that was never talked about, though it was there. Homosexuality is a wide concept that includes not only the aspect of sex, but also romantic attraction and feelings of affection towards members of the same sex. There is ample evidence both in nature and in history to show that homosexuality is indeed not a mental disorder. Over 1500 animal species have gone on record for practicing homosexuality. What is rather unique to the human race is homophobia.
Sigmund Freud stipulates that human sexuality is not binary as in two sides of a coin (gay or straight), but rather there exists a continuum between the two extremes.
It is shame to think that you still believe homosexuality to be a 'western concept', yet history (including African history) is replete with instances of tribal 'boy wives' and women 'marrying' each other. What is western ni homophobia, which was rampant in Europe and was thus spread to the rest of the world during the colonial era.
 
Pamoja na nia nzuri ya kudhibiti ushoga na ikiwezekana kuutokomeza kabisa ukweli ni kuwa Nchi za dunia ya tatu hazitaweza kamwe (hapa isichukuliwe kuwa naupenda na kuutetea ushoga, la hasha) kuuangamiza. Sababu ni kuwa watu masikini wapo tayari muda wowote kufanya chochote ili kupata fedha ya chakula hivyo wenye pesa zao (Nchi za magharibi) watazitumia kwa namna yoyote ile kufadhili ushoga kwa kuzipitisha kwenye miradi mbali mbali ya kijamii.Pia nchi hizi zenye mashoga hutumia vitisho mbalimbali kuzikabili nchi zinazojitahidi kuangamiza ushoga, Kwa mfano Uganda mwaka jana ilikuwa ipitishe sheria kali sana ya kuwafunga mashoga kwa miaka mingi gerezani lakini Rais Barack Obama akaingilia kati na Rais Museven ikabidi asalimu amri tu na mswada wa sheria hiyo ukatupoliwa mbali.
 
Rejea yangu ni semina iliyoendeshwa na madaktary bingwa wa muhimbili,ila madaktary huwa wanasoma historia za magonjwa mbalimbali ukimuuliza mmoja wapo unaweza pata jibu.
 
Rejea yangu ni semina iliyoendeshwa na madaktary bingwa wa muhimbili,ila madaktary huwa wanasoma historia za magonjwa mbalimbali ukimuuliza mmoja wapo unaweza pata jibu.
Mapambano dhid ya ushoga Afrika ni ngumu ,...kwa kudokeza tu. Mashoga ndio wachangiaji wakuu wa WHO ,UNICEF NA USAID,Unajua role ya mashirika haya kwa sekta ya afya Tanzania..afu mnaleta cheap politics za kina Makonda!
 
Kwa kawaida, kiumbe mwanaadamu ameubwa akiwa amepewa vitu viwili muhimu ambavyo ni akili na nafsi .
Akili huwa inafanya kazi kutokana na nguvu za muungu, ambao inauwezo mkubwa wa kutambua kitu kibaya au kizuri, kwa kuparceive kupitia viungo vya hisia au kupitia ujengaji wa hoja.
Nafsi huwa ipo ktk upande wa leisure au starehe, hupenda utukufu, maisha mazuri, mali, wanawake, watoto nk. Kwa hio muungu baada ya kumuumba binaadamu anatakiwa kufuata akili yake ili kupata mafanikio, na ktk kufuata akili ni lazma uilazomishe nafsi kushindwa pasipo kushindwa utaitumia akili ktk kufanikisha matakwa ya nafsi ndo hapo utakuwa mbunifu wa wizi, dhulma, pombe, nk utaitumia akili ili uridhishe nafsi kwa njia yoyote kama binaadamu akili yake itaongozwa na matamanio ya nafsi yake basi mwanaadamu huyo ataangamia ona mtumiaji madawa ya kulevya, pombe, sigara, wazinifu, wezi, makahaba , baradhuli nk wote hawa wanajisababishia madhara kwenye miili yao na kusababisha madhara kwenye jamii yao.
Kwa kuwa binaadamu ameumbwa kwa malengo maalum, basi Muungu akamuekea utaratibu wa kuilinda akili yake na nafsi yake pamoja na jamii kwa ujumla,
Hivyo kwa kuwa muungu hakosei kuumba i.e mwanaumeameumbwa kuwa mwanaume na mwanamke kuwa mwanamke na akawaekea utaratibu wa kutumia viungo vyao vya uzazi na namna gani kupata mtoto, kutafuta mali na kustarehe.
Lkn imefika wa kati dunia inasimamiwa na watu ambao nafsi zao ndio zinazoongoza akili zao tutegemea madhara makubwa tu ktk jamii zote. Na mwisho wa siku muungu hatutomzuru tutajizuru miili yetu, nafsi zetu na akili zetu.
 
Hapa Mtaani Pana Kashoga Mmoja Yani Noma Sana! Anaitafutaga Namba Yako Ya Simu ikisha Usiku Anakutwangia Na Kuanza Kutiririka Maneno Ya Kukutongoza! Kama Roho Yako Nyepesi Kidogo tu Unajikutia Unamfuata Geto!!
Dah! Basi Ona Adolescents Wanaomature Sasa Wanavoteketea Kwa Kumlawiti Huyu Jamaa!!
 
Mpango wa kupunguza idadi ya watu ulianza tangu early 70s kwa mataifa ya magharibi (soma Africa journal au article ya Msangi blog "UKIMWI NA EBOLA SILAHA ZA MAANGAMIZI AFRIKA).
Hata hivyo harakati za kupunguza idadi ya watu tangu miaka hiyo hazikufanikiwa nadhani uwiano wa mipango na kasi ya ongezeko la watu havikuenda sawa thus wenzetu kwa miaka hii wameamua kubadili gia angani TOWARDS USHOGA.Tendo la ushoga (homosexual) halina kibali mbele za mungu kwa sababu linaenda kinyume na mapenzi ya mungu.
Kwa vile jamii ya mtu mweusi inaamini kuwa kila anachokifanya mweupe hata iwe ujinga ni chema, Kuna wimbi kubwa la raia wa kiafrika kujitumbukiza kwenye ushoga,Aidha T.V na program za movies zinachangia kushawishi.Ukiangalia lizombe ngoma ya Wangoni kwenye TV unaonekana mshamba!!Wenzetu wanadhani wakihamasisha USHOGA watapunguza idadi ya watu.TUACHE TUACHE KUFAGILIA USHOGA.Yupo jamaa yangu aliniambia akigundua ndugu yake ni SHOGA anaweza kumwekea sumu teh teh teh!
 
[QUOTE="Cicero, post: 16741036, member: 349444"... but rather there exists a continuum between the two extremes.
It is shame to think that you still believe homosexuality to be a 'western concept', yet history (including African history) is replete with instances of tribal 'boy wives' and women 'marrying' each other. What is western ni homophobia, which was rampant in Europe and was thus spread to the rest of the world during the colonial era...[/QUOTE]
 
[/QUOTE]

Je, mila ya "nyumba ntobho" inachangia hili?
 
Tena unakuta mhusika wa hiyo scene anakuwa mwenye mafanikio, anayependwa yaan kifupi mwenye tabia zote za utu...kiukwel umenifumbua macho mleta mada..hawa jamaa wakitaka kitu..ngumu sana kupambana nao...tuzidi kumuomba Mungu atuepushe mbali
 
Tatizo hii mijitu mingi haijulikani bint anaweza kutembea kwa madaha na jamaa Barabarani kumbe watu wanamdharau, masikini mwenyewe hajui kwamba jamaa yake choko, ndio maana tulionao humu JF wanajitahidi sana kuutetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…