Unachotakiwa kufahamu kuhusu kadi za NIDA

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Yajue haya kuhusu kadi za NIDA.

Kwanza zina taarifa nyingi mno ulizijaza wewe mwenyewe bila kuambiwa kwanini.

Kiufupi kadi za NIDA zina haya yafuatayo.

1. Mwaka wa kuzaliwa.
2. Tarehe ya kuzaliwa.
3. Namba ya mkoa.
4. Namba ya wilaya.
5. Namba ya kata.
6. Namba mtaa/ Kijiji.
7. Baba na mama mzazi.
8. Ajira na idara kwa watumishi.
9. Finger prints says even more.

Kiufupi umedakwa TISS watches you!

Ndio maana ofisi yao ina muonekano wa mwewe ikimaanisha wanakuona na wana uwezo wa kukunyakua popote ulipo.
 
Kumbuka sura yako wanayo kwenye taarifa za bank na popote ambapo system iko integrated.
 
kitambulisho cha utaifa kitaongeza ufanisi wa kazi ya upelelezi na kusaidia kwa kiasi fulani wale wastaarabu na watii sheria bila shuruti.

mfano kuna jamaa yangu aliibiwa simu alienda polisi kutoa taarifa. wana ujuzi pale polisi sijaamini, walichukua imei za ile simu wakaangalia wakaona kuna line mbili zimeshaingia kwenye simu na majina ya wenye line watu wawili tofauti.

walidakwa wote wakamtaja aliyewauzia, bahati kwao aliyewauzia ni mtu wa karibu na mwenye simu kesi ikafutwa.

ushauri wangu IMEI za simu zetu muhimu kuandika na kuzitunza *#06#

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Yajue haya kuhusu kadi za NIDA.

Kwanza zina taarifa nyingi mno ulizijaza wewe mwenyewe bila kuambiwa kwanini.

Kiufupi kadi za NIDA zina haya yafuatayo.

1. Mwaka wa kuzaliwa.
2. Tarehe ya kuzaliwa.
3. Namba ya mkoa.
4. Namba ya wilaya.
5. Namba ya kata.
6. Namba mtaa/ Kijiji.
7. Baba na mama mzazi.
8. Ajira na idara kwa watumishi.
9. Finger prints says even more.

Kiufupi umedakwa TISS watches you!

Ndio maana ofisi yao ina muonekano wa mwewe ikimaanisha wanakuona na wana uwezo wa kukunyakua popote ulipo.
We jamaa sijui umekula maharage ya wapi, vitu nijaze mwenyewe halafu leo nishangae kuwepo huko? Halafu namba za mikoa na kata sizani kama ni dili sana kwani watu wanahama kila siku, kingine acha uhalifu maana kama sio muhalifu usingestuka watu wa nida kuwa na taarifa zako
 
kitambulisho cha utaifa kitaongeza ufanisi wa kazi ya upelelezi na kusaidia kwa kiasi fulani wale wastaarabu na watii sheria bila shuruti.

mfano kuna jamaa yangu aliibiwa simu alienda polisi kutoa taarifa. wana ujuzi pale polisi sijaamini, walichukua imei za ile simu wakaangalia wakaona kuna line mbili zimeshaingia kwenye simu na majina ya wenye line watu wawili tofauti.

walidakwa wote wakamtaja aliyewauzia, bahati kwao aliyewauzia ni mtu wa karibu na mwenye simu kesi ikafutwa.

ushauri wangu IMEI za simu zetu muhimu kuandika na kuzitunza *#06#

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Siyo lazima kuwa na IMEI hata email yako pekee uliyokuwa inatumika kwenye hiyo Simu inasaidia kupata hizo taarifa zote. Google wanadukua taarifa zako zote muhimu kutoka kwenye Simu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yajue haya kuhusu kadi za NIDA.

Kwanza zina taarifa nyingi mno ulizijaza wewe mwenyewe bila kuambiwa kwanini.

Kiufupi kadi za NIDA zina haya yafuatayo.

1. Mwaka wa kuzaliwa.
2. Tarehe ya kuzaliwa.
3. Namba ya mkoa.
4. Namba ya wilaya.
5. Namba ya kata.
6. Namba mtaa/ Kijiji.
7. Baba na mama mzazi.
8. Ajira na idara kwa watumishi.
9. Finger prints says even more.

Kiufupi umedakwa TISS watches you!

Ndio maana ofisi yao ina muonekano wa mwewe ikimaanisha wanakuona na wana uwezo wa kukunyakua popote ulipo.
Inawezekana kudanganya kila kitu hapo mpaka hiyo finga hamna kipya humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa post mbona hujiamini? Au una mambo yako binafsi!

Struggle For Success!
 
Yajue haya kuhusu kadi za NIDA.

Kwanza zina taarifa nyingi mno ulizijaza wewe mwenyewe bila kuambiwa kwanini.

Kiufupi kadi za NIDA zina haya yafuatayo.

1. Mwaka wa kuzaliwa.
2. Tarehe ya kuzaliwa.
3. Namba ya mkoa.
4. Namba ya wilaya.
5. Namba ya kata.
6. Namba mtaa/ Kijiji.
7. Baba na mama mzazi.
8. Ajira na idara kwa watumishi.
9. Finger prints says even more.

Kiufupi umedakwa TISS watches you!

Ndio maana ofisi yao ina muonekano wa mwewe ikimaanisha wanakuona na wana uwezo wa kukunyakua popote ulipo.
kilaza.
 
Back
Top Bottom