Unachotakiwa kufahamu kuhusu kadi za NIDA

Unachotakiwa kufahamu kuhusu kadi za NIDA

Yajue haya kuhusu kadi za NIDA.

Kwanza zina taarifa nyingi mno ulizijaza wewe mwenyewe bila kuambiwa kwanini.

Kiufupi kadi za NIDA zina haya yafuatayo.

1. Mwaka wa kuzaliwa.
2. Tarehe ya kuzaliwa.
3. Namba ya mkoa.
4. Namba ya wilaya.
5. Namba ya kata.
6. Namba mtaa/ Kijiji.
7. Baba na mama mzazi.
8. Ajira na idara kwa watumishi.
9. Finger prints says even more.

Kiufupi umedakwa TISS watches you!

Ndio maana ofisi yao ina muonekano wa mwewe ikimaanisha wanakuona na wana uwezo wa kukunyakua popote ulipo.
They are wasting their time. Dunia hii inabadilika faster than most people thinks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba mkitaka kumkamata mtu asiyeunga mkono juhudi ili mumuue itakuwa rahisi kumpata!!?...how many people are you going to kill ili asiwepo mtu mwenye mawazo tofauti!?mnahisi kuwa kuna siku tutakuwa tunafikiria sawasawa wote nchi nzima!!...najua hiyo thread imeandikwa na tiss wenyewe kutaka kutishia watu ila kuna kitu hamjui kuwa tiss mme base sana kwenye mambo ya siasa mpaka watu wamewapita uelewa na wamekuwa mbele yenu kwa hatua nyingi wakati nyinyi tiss mlitakiwa muwe mbele ya RAIA ili muwe mna control game lote!too late!
 
Maana yake wanakupigia kura wao utake usitake, uhame usihame.

Idadi ya waliojisajiri ni kura tayari zimeshapigwa.

2020 hakuna foleni kupuga kura, hakuna cha mtumishi wala asiyemtumishi, na hakuna kujitoa.
 
Yajue haya kuhusu kadi za NIDA.

Kwanza zina taarifa nyingi mno ulizijaza wewe mwenyewe bila kuambiwa kwanini.

Kiufupi kadi za NIDA zina haya yafuatayo.

1. Mwaka wa kuzaliwa.
2. Tarehe ya kuzaliwa.
3. Namba ya mkoa.
4. Namba ya wilaya.
5. Namba ya kata.
6. Namba mtaa/ Kijiji.
7. Baba na mama mzazi.
8. Ajira na idara kwa watumishi.
9. Finger prints says even more.

Kiufupi umedakwa TISS watches you!

Ndio maana ofisi yao ina muonekano wa mwewe ikimaanisha wanakuona na wana uwezo wa kukunyakua popote ulipo.
Kuna mawili
1). Umeleta taarifa hii ili kuwatisha wahalifu wa makosa ya jinai
2). Au umeleta taarifa kuwatisha RAIA wenye mtizamo tofauti na serikali, ili waogope kupinga na kukosoa, kuipinga selikari kutaendelea mpaka mwisho wa dunia
 
Kitu kinachohusu mtandao uharibiwa kwa mtandao wenyewe.
 
Yajue haya kuhusu kadi za NIDA.

Kwanza zina taarifa nyingi mno ulizijaza wewe mwenyewe bila kuambiwa kwanini.

Kiufupi kadi za NIDA zina haya yafuatayo.

1. Mwaka wa kuzaliwa.
2. Tarehe ya kuzaliwa.
3. Namba ya mkoa.
4. Namba ya wilaya.
5. Namba ya kata.
6. Namba mtaa/ Kijiji.
7. Baba na mama mzazi.
8. Ajira na idara kwa watumishi.
9. Finger prints says even more.

Kiufupi umedakwa TISS watches you!

Ndio maana ofisi yao ina muonekano wa mwewe ikimaanisha wanakuona na wana uwezo wa kukunyakua popote ulipo.
Sasa we jamaaa tarifa nilijaza mwenyewe kwa mkono wangu .....kip chakushangaza....VIP maharage yame kolea nini
 
Marekani kuna full security lakini watu bado wanafanya uhalifu...

Mbinu zipo nyingi sana maana mhalifu ana mbinu nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
yes unajua nini bro ....wizi ndani ya sayari hii auj kuisha kamwe .....the more tech inaongeza ujuzi ndivyo nawao vibaka wanajiongeza na pia taharifa wanapewa na hao hao wana tech wasiojulikana
 
Back
Top Bottom