Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sababu inayomfanya mtu yeyote asifanikiwe ni kushikwa na kuonewa na Ibilisi. Unaweza kukamatwa haswa na Mr. Shetani huku ukiwa muumini mzuri wa Imani, sometimes unaweza kuwa kiongozi wa dini na Ibilisi akakuganda huku akimwacha mtu ambaye hata mlango wa kanisa hajui tarehe ya mwisho aliingia lini.
Unaweza kusoma na Ibilisi akatandika, unaweza kupata kazi nzuri lakini ibilisi akakutandika haswa
Hebu niwape kisa kimoja au 2.
1. Baba mmoja msomi kwa level ya PhD na ni mwajiriwa wa kitambo tangu ujana wake, alianza ajira wizara ya kilimo baadaye akahamishiwa wizara ya Ulinzi na sasa anastaafu akiwa wizara ya ujenzi.
Akiwa wizara ya Ulinzi alikuwa akienda nje kikazi kuliko wewe msomaji unavyokwenda kijijini kwenu.
Posho za kwenda nje kama mhandisi mbobezi si haba. Anaishi maisha magumu sana huyu baba.
Kimaendeleo nimemzidi hatua nyingi sana. Mpaka leo anastaafu bado yuko nyumba ya serikali analipiwa mpaka umeme. Hana hata Bajaj ya kumpeleka kazini.
Lengo si kumdhalilisha maana sijaweka jina wala picha yake. Lengo nikuambie kuwa Mungu anaweza kukuinua kwa elimu yako hiyo hiyo, mahali hapohapo ulipo. Kama shetani akikukamata hutoboi.
2. Jamaa yangu mmoja ni askari wa barabarani almaarufu trafiki. Huyu chimbo lake linatema sana, wenyewe traffic wanajua kuwa kuna site pesa nyingi na kuna site miyeyusho.
Jamaa per day anapata mpaka sh. Laki 8. Normal laki 5. Ila account haina hata milioni 5 ya pamoja na hana mradi wowote nje ya utrafiki. Mpaka sasa anakaa kota kwa mke wake maana mke naye ni mtumishi mahali.