Unachukia or unampenda Diamond 'Platinumz'? Hii inakuhusu

Nyumba tatu wapi hapo? Au kijijini kwao maana hapa Dar si mchezo kujenga nyumba.
Hivi hela analipa kodi kutokana na mapato ya show?
Hotel Four Star gharama yake ni sh ngapi vile?
 
naona una matatizo katika matumizi ya "r" na "l"

back to topick......

Simchukii wala simpendi diamond........
 
Nyumba tatu wapi hapo? Au kijijini kwao maana hapa Dar si mchezo kujenga nyumba.
Hivi hela analipa kodi kutokana na mapato ya show?
Hotel Four Star gharama yake ni sh ngapi vile?

soma hapa-millad hayo web source


Inawezekana ukawa una taarifa kwamba Diamond Platnums ni msanii mwenye mkwanja sana hapa Tanzania kutokana na show za bei gali na nyingi anazozifanya.

Inawezekana ukawa unataarifa kwamba Diamond Platnums ndio msanii ambae yuko juu kwa sasa Tanzania, na kwamba ndio msanii aliepiga show nyingi za bei ghali mwaka jana.

siyo hayo tu… kuna uwezekano ukawa una taarifa zake nyingi tu lakini hili ninalotaka kukwambia mimi ndio kwanza unalisoma kutoka hapa.
Akiongea Exclusive na millardayo.com Platnums amekubali kuzungumzia nyumba yake anayoijenga Tegeta Dar es salaam kutokana na pesa za muziki.

Amesema "ninapopata huwa najaribu kutengeneza vibanda vyangu vinisitiri manake ninazo nyumba tofauti tofauti, nyumba ya Tegeta nimetumia milioni 69 mpaka sasa, leo wanapiga plasta nyumba imekaribia kuisha kabisa, ni ya vyumba vinne titatu ni Master, kuna jiko kubwa tu, choo cha public, studio, dining, sitting room… ni nyumba ya kisasa, kiwanja nilikinunua mwezi wa tisa 2011, nyumba nyingine ninazojenga zipo zipo ila huwa sipendi kuzizungumzia"
 
Kama Diamond anamiliki gari na nyumba.basi Ruge atamiliki chopa.!
 
hadi sanamu la amitah bachan la madame tussauds( london) umeliweka? hahahahahaha kadanganye ma ******
 

Join Date : 25th September 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0



NA UTASEMA TUU...NANI ALIYEKUTUMA????
 
Diamond akumbuke kuwa na health insurance cyo anakuja kuugua na kuanza kusumbua wananchi kumchangia matibabu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Join Date : 25th September 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0



NA UTASEMA TUU...NANI ALIYEKUTUMA????


Hivi kwa nini Invisible asifunge mlango wa kujiunga wanachama hapa JF?
Ona sasa madhara ya hivi vipumbavu vinavyokurupuka na kutuletea mada za Facebook hapa.
Then mbaya zaidi ni kuwa kuna watu wanafumuka na matusi na mijineno ya kashfa kwa watu ambao labda hata hawajahusika katika kuleta huu ushuzi hapa...
 
Diamond gani? Yule aliejichubua na carolite uso na tumbo akaacha miguu...?
 

analipa kodi kiasi gani? Anaisaidia vp tanzania na wewe mpiga debe wake kwa ujumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…