Unachukia or unampenda Diamond 'Platinumz'? Hii inakuhusu

baada ya kumtaja ruge kama meneja,mwili wangu umesinyaa,,,,labda diamond ndo atakua msanii wa kwanza kufanikiwa chini ya ruge,ila ruge tunamjua ana tabia ya kuwatumia wasanii kama kondom
.

Ruge????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 

usidhani kwa tabia ulizo nazo ni kila mtu!!!! na uzi wako uliuweka hapa ili iweje kama we unampenda tayari! asiambiwe ukweli!!! haya bhasi diamond c muhuni hata kidogo,,,,nampenda 100%
 
hiyo hoteli ya nyota 4 naisubiria kweli!
Labda kama constractor watakuwa vichaa wa mirembe sijaona hela aliyonayo ya kufanyia hiyo kaz au siku hiz mitumba inalipa kias hicho!
 

Naona wewe ni katibu mwenezi! mwenye thread kauliza kwenye heading: unampenda au unamchukia?? sasa wewe naona unalazimisha watu, kumbuka sio memba wote wa JF wako TZ.
 

Much respect
 


We ndio owner wa Jf au?
 
Kama ameweza kufanya yote hayo nampa hongera na azidi kujitahidi.Ni mmoja wa wanamuziki wachache toka Tanzania wanaojulikana nje ya mipaka yetu kwa sasa...
 
tunamshukuru mola kwa kutuletea diamond duniani.........kwakweli anatuburudisha sana
 
At least anajishughulisha kuliko wengi wanaokaa vijiweni na kuanza kubom mia...Anakipaji anakitumia anunue gari,mkokoteni,
rocket ni yeye na familia yake.
 
Ni Kijana nasikia ametoka kuuza mitumba umachinga na alipofika anafaa kupongezwa
 

we muongo sana na AY utamuacha wapi ye show za mastaa wa dunia hebu futa kauli yako
 
Talking of AY, namkubali kimataifa, anahit kimataifa na kijamii ana heshima zake, hana skendo. Inabidi wasanii wa bongo kuiga huo mfano.
 
Mimi si shabiki wa diamond hata kidogo.....ila anaweza sana tatizo dogo anakashifa nyingi zinazo ,kabili pamoja sio msanii ninae mkubali lakini si mchukii coz najua wote hatufani.....go gela diamond mungu akujalie......ur free man so go go........tupo pamoja tempo ya east africa.
 
Nackia magic fm na chanel ten wamegoma kupiga nyimbo zake!
Sababu ztawajia msijal wadau bado naperuz!
 
Aaah ulipotaja Ruge tu ndio uliponivurugia mtiririko wa hii habari yako. Ruge??!
 
Kupaka wanja
kuonyesha nguo yake ya ndan
kubadili madem km nguo
kwa haya yote hatajenga hiyo hotel 4 star!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…