sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga.
Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu waafrika wengi hasa wakristo wamekua wakihalalisha na kuwaita magaidi.
Imagine nyumba alioishi babu wa babu wa babu yako, leo mnakuja kubomolewa wanakuja kukaa watu kutoka Brooklyn USA kwa kigezo cha nchi ya ahadi, ukipinga unakula shaba.
Hauna uhuru wa movement, kila hatua yako ya maisha iko controlled, na ni kilasiku. Ungeweza?
Heko kwa Tundu Lisu, John heche na sheikh ponda.