justice to terrorists , wewe mjinga hao jamaa are criminals. kuwa na huruma kwa watu wanao kill others wewe ndo una matatizo. Acha kuangalia western media ni fake news. akili yako uwezi kufikiri vizuri.Nyie hapo juu wote ni wanafiki, you are not about justice, just batch if lunatic sociopath
Hivi kuna Wapalestina huko Palestine wanaochukizwa na Lissu kubambikiwa kesi kwa sababu za kisiasa?Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga.
Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu waafrika wengi hasa wakristo wamekua wakihalalisha na kuwaita magaidi.
Imagine nyumba alioishi babu wa babu wa babu yako, leo mnakuja kubomolewa wanakuja kukaa watu kutoka Brooklyn USA kwa kigezo cha nchi ya ahadi, ukipinga unakula shaba.
Hauna uhuru wa movement, kila hatua yako ya maisha iko controlled, na ni kilasiku. Ungeweza?
Heko kwa Tundu Lisu, John heche na sheikh ponda.
Hivi kuna Wapalestina huko Palestine wanaochukizwa na Lissu kubambikiwa kesi kwa sababu za kisiasa?
Hii post yako ni comparison ya kijinga kabisa.
Unafiki wa hali ya juu huu! Sudan tu hapo waarabu wa RSF wanaua watu weusi huamsemi kitu, ya Congo kama kujayasikia!1. Mgogoro wa palestina na Israel ni global conflict, ndio maana hata kwenye vitabu vya mtaala wa elimu vipo.
2. Acha kuwndeleza unafiki kujifanya “you don’t care about external matters” ili kukimbia hoja, be realistic
3. Si kila waojadiliwa na wao wanawajadili,
I know you know but you prove your hypocrisy and foolishness
Uliwahi kukuta habari inayohusiana na vita ya DRC watu wanasema "acha wauwawe hao magaidi" au kuhalalisha kua ni kutimia maandiko kile kinachotokea DRC au Sudan?Unafiki wa hali ya juu huu! Sudan tu hapo waarabu wa RSF wanaua watu weusi huamsemi kitu, ya Congo kama kujayasikia!
Unaenda kuumizwa na ya ughaibuni!!!
Hapo congo wanauawa tangu enzi ya Leopold mfalme na yametokea mauaji ya kimbar since then had leo wewe hujayaongelea umeona palestina tu. Waafrika tujifunze kujipendq sisi kwanza kabla ya kujishughulishq na ya watu. Hapo Somalia mpaka tushakubali ni kawaida yao kuuawana, hapo sudan sasa hiv washauawa watu laki na nusu. Mpo kimya, mi leo hii nimejifunza kuwa hakuna jipya humu dunian, kuna watu ni zao la giza wao lazima waish kwa kuwaua wenzao. Na maana tangia nikiwa mdogo nasikia mateso ya wanadamu tu na sina uwezo wa kuyatatua zaid ya kuangalia na kuwaombea. Ninavyosema hivyo sina maana watoto wa Israel wanathaman kuliko wale.wa wapalestina. Naomba Mungu awajalie wakae na kukubali wayahud na waarabu pale ni kwao waish kwa aman kama walivyofanya south Africa. Wamekubali waish na watesi wao ili maisha yaende. Gharama ya kuwatoa ni kubwa kuliko kuishi nao. Unakubali kuish kwa kutokukubaliana.Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga.
Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu waafrika wengi hasa wakristo wamekua wakihalalisha na kuwaita magaidi.
Imagine nyumba alioishi babu wa babu wa babu yako, leo mnakuja kubomolewa wanakuja kukaa watu kutoka Brooklyn USA kwa kigezo cha nchi ya ahadi, ukipinga unakula shaba.
Hauna uhuru wa movement, kila hatua yako ya maisha iko controlled, na ni kilasiku. Ungeweza?
Heko kwa Tundu Lisu, John heche na sheikh ponda.
Sisi hatuishi gaza, shughulika na changamoto yako kabla hujaenda kushughulika na changamoto ya JiraniMnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga.
Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu waafrika wengi hasa wakristo wamekua wakihalalisha na kuwaita magaidi.
Imagine nyumba alioishi babu wa babu wa babu yako, leo mnakuja kubomolewa wanakuja kukaa watu kutoka Brooklyn USA kwa kigezo cha nchi ya ahadi, ukipinga unakula shaba.
Hauna uhuru wa movement, kila hatua yako ya maisha iko controlled, na ni kilasiku. Ungeweza?
Heko kwa Tundu Lisu, John heche na sheikh ponda.
Vipi DRC? SUDAN? Hakuna waislam wenzako huko?Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga.
Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu waafrika wengi hasa wakristo wamekua wakihalalisha na kuwaita magaidi.
Imagine nyumba alioishi babu wa babu wa babu yako, leo mnakuja kubomolewa wanakuja kukaa watu kutoka Brooklyn USA kwa kigezo cha nchi ya ahadi, ukipinga unakula shaba.
Hauna uhuru wa movement, kila hatua yako ya maisha iko controlled, na ni kilasiku. Ungeweza?
Heko kwa Tundu Lisu, John heche na sheikh ponda.
Sasa sijui tusemeje sisi wengine tunao himiza HAKI popote pale duniani; lakini kwa vile hapa nyumbani tunanyimwa haki hiyo; sasa tuanze kwenda kuihimiza huko kwingine ambako pia haki inaporwa?Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga.
Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu waafrika wengi hasa wakristo wamekua wakihalalisha na kuwaita magaidi.
Imagine nyumba alioishi babu wa babu wa babu yako, leo mnakuja kubomolewa wanakuja kukaa watu kutoka Brooklyn USA kwa kigezo cha nchi ya ahadi, ukipinga unakula shaba.
Hauna uhuru wa movement, kila hatua yako ya maisha iko controlled, na ni kilasiku. Ungeweza?
Heko kwa Tundu Lisu, John heche na sheikh ponda.
Duh!Vipi DRC? SUDAN? Hakuna waislam wenzako huko?
Wewe kumbe una lako jambo?Uliwahi kukuta habari inayohusiana na vita ya DRC watu wanasema "acha wauwawe hao magaidi" au kuhalalisha kua ni kutimia maandiko kile kinachotokea DRC au Sudan?
Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga.