Unachukizwa na yanayoendelea nchini ila unahalalisha kinachoendelea Gaza, we ni mnafiki.

kwa haka kakikundi kanakotesa watanzania, nadhani hakana tofauti na hamas. ni watu walioamua kuchafua hii nchi na kutugawa. ila Mungu ataingilia kati kwa namna anavyojua yeye, kwetu sisi tutapiga magoti na kuomba Mungu atutetee, maana hatuna bunduki, khatuna polisi, hatuna jeshi, sisi tunamtegemea Mungu.kwani jiwe yuko wapi?
 
Mambo ya Gaza yanatuhusu nini sisi huku Nyangao ?!. Mambo yanayowahusu waTz ni yetu wenyewe. Hivi unafikiri mYahudi au muarabu anakuwazia wewe ?!
 
Kwani yeye ni mgaza,kwani huko hakuna raia wa kuwasemea hadi aseme yeye?
 
Hamas wanafanya mambo kigaidi..... short of that wasikilizwe
 
Chukulia kwenu kuna msiba na jirani yenu pia ana msiba ....kwamba wewe utakuwa busy msiba wa jirani kwanza au msiba wenu

Tukisema hiyo dini yenu hamga elimu mnasema tuna waonea wakati mnaandika ujinga ....
 
Walia Vipondo hao.

Wakipigwa vya nguvu huku wanalia.

Wazungu na mwakala wao ni wanafiki
 
Gaza mbali,hapo sudani na somalia umechukua hatua zipi?
 
gaza ni kwa sababu ya ushetani wa HAMASS.ile vita alianzisha HAMASS.inaweza kuisha ndani ya siku moja ikiwa mateka wa israel wangeachiwa .viongozi wa hamass wameuliwa wote lakini wanamgambo wanakomaa na vita ambayo hawaiwezi.HEZBOLLAH ,KWISHA,SOON HUTHIS ITAKWISHA NA IRAN KICHA WA NYOKA KITAPIGWA MUDA SIYO MREFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…