Uliweza kufunga, hahahahaahahahahhahJana nilikaa na ostadhi mmoja maeneo Fulani tukagonga castle na kitimoto kisha akanambia nifunge bakuli langu.
Delta Force
Nani huyo mkuu. Alafu mkuu kwa jambo la imani mtu akifanya jambo bila kujua wala sio dhambi kumbuka hilo. Yani mfano mtoto akizaliwa porini hajawahi hubitiwa injili akitukana huko akikashifu n.k then akafa jua huyo yupo safe mbele za Mungu maana kafanya asilolijua ila ukishajua unatakiwa kuacha.Unakutana na mtu anadai hali Kitimoto lakini anakula SAUSAGE, si kujidanganya nafsi? Huku ni kujidanganya nafsi, na wakati unajua imani ya dini hairuhusu. Takbiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii