Unadhani Chama na Mkude wanastahili kucheza kikosi gani kwa sasa?

Unadhani Chama na Mkude wanastahili kucheza kikosi gani kwa sasa?

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Msimu wa 2025/26 unaelekea kuanza, nyota wa soka la Bongo Clatous Chotta Chama na Jonas Mkude waliokuwa Yanga kwa sasa wapo huru, mastaa hao waliowahi kuwa panga pangua kwenye kikosi cha Simba unadhani safari yao sasa itahamia wapi msimu ujao.
Screenshot 2025-08-09 121055.jpg
 
Back
Top Bottom