DogoWaNjombe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,284 Reaction score 7,708 Aug 9, 2025 #1 Msimu wa 2025/26 unaelekea kuanza, nyota wa soka la Bongo Clatous Chotta Chama na Jonas Mkude waliokuwa Yanga kwa sasa wapo huru, mastaa hao waliowahi kuwa panga pangua kwenye kikosi cha Simba unadhani safari yao sasa itahamia wapi msimu ujao.
Msimu wa 2025/26 unaelekea kuanza, nyota wa soka la Bongo Clatous Chotta Chama na Jonas Mkude waliokuwa Yanga kwa sasa wapo huru, mastaa hao waliowahi kuwa panga pangua kwenye kikosi cha Simba unadhani safari yao sasa itahamia wapi msimu ujao.
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,851 Reaction score 9,372 Aug 9, 2025 #2 Waje mashujaa