GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Mtu ananisikitisha sana GENTAMYCINE kwani kila akiingizwa Mtegoni ili aharibu na kuonyesha kuwa hajui Kitu nae anaingia tu mazima mazima halafu Waliompo za ( Waliomchomesha ) wanamcheka tu Dar es Salaam, Zanzibar, Dodoma na Utemini Mwanza.