GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 3, 2023 #1 Kuna Mtu ananisikitisha sana GENTAMYCINE kwani kila akiingizwa Mtegoni ili aharibu na kuonyesha kuwa hajui Kitu nae anaingia tu mazima mazima halafu Waliompo za ( Waliomchomesha ) wanamcheka tu Dar es Salaam, Zanzibar, Dodoma na Utemini Mwanza.
Kuna Mtu ananisikitisha sana GENTAMYCINE kwani kila akiingizwa Mtegoni ili aharibu na kuonyesha kuwa hajui Kitu nae anaingia tu mazima mazima halafu Waliompo za ( Waliomchomesha ) wanamcheka tu Dar es Salaam, Zanzibar, Dodoma na Utemini Mwanza.