Unadhani Kwanini Asilimia Kubwa Ya Wanawake Hawapendi Mtumie Kondomu

Yaan Sina sababu ila sitaki hata kuzisikia
unaonaga yale mapicha kule jukwaa la afya..? basi kilinde nawewe usije ukatupa picha mnato kule ukiuliza hii ni nini..!!🤣
 
unaonaga yale mapicha kule jukwaa la afya..? basi kilinde nawewe usije ukatupa picha mnato kule ukiuliza hii ni nini..!!🤣
🤣🤣🤣🤣 Hakuna kitu sijakipa kipaumbele kama sex ila siku nikitaka kupima muhimu sana na lazima niue mtu 🥴
 
🤣🤣🤣🤣 Hakuna kitu sijakipa kipaumbele kama sex ila siku nikitaka kupima muhimu sana na lazima niue mtu 🥴
twende kesho tukapime walau ukizimia nikubebe!
 
Kuna watu wanautafuta ukimwi na trump kakata msaada. Kama hupendi ndomu basi pima kabisa ili mchakatane vyema nyama ziumane
 
Wewe hata nikikukuta mzima sikupei...
Hata dawa za kulevya zitadunda kwangu 🥴
Mh! hata sijakuomba umeshaanza mikwala!
nyie ndo baadae mnakuwaga ving'ang'a mkionjeshwa...🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…