johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nakuunga mkono. Alieharibu ni Mh. Mbowe kwa kutosimamia kile alichokiamini kwa muda mrefu. Kitendo cha kutoka gerezani na kulegea pasi na kupingwa na walio wengi kwenye chama chake, kumeleta shida sana katika kusimamia misingi ya chama chao. Sasa hivi wanahangaika tu, hawajui washike lipi.Walihadaiwa na Samia wakapoteza muda mrefu kuamini kwamba mama ana nia njema.
Wamestuka muda umeenda, kila wanachojaribu hakiendi kuanzia mikutano mpk maandamano.
In short, chadema wamezidiwa akili sana na huyu mama.
Halafu mama wala hatumii nguvu.
Hata bila kuhadaiwa, CHADEMA hawawezi kulazimisha Katiba mpya wala tume huru bila ridhaa ya Rais. CCM ilishawapiga pini Watanzania kiasi kwamba hawana mpango wa kujiunga na mapambano ya kudai mabadiliko nchini.Walihadaiwa na Samia wakapoteza muda mrefu kuamini kwamba mama ana nia njema.
Wamestuka muda umeenda, kila wanachojaribu hakiendi kuanzia mikutano mpk maandamano.
In short, chadema wamezidiwa akili sana na huyu mama.
Halafu mama wala hatumii nguvu.
Shetani lazima upambane badala ya kumsusiaNi swali tu la Jumamosi,
Unadhani kwanini Mbowe na Mnyika wanang'ang'ania CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa Tume ile ile ya Uchaguzi?
Swali hili linakuja kufuatia kauli ya Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM Mh. Mongella aliyesema kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa kusaka kushika Dola hakuna Kubembelezana.
Sabato Njema.๐๐
SahihiHata bila kuhadaiwa, CHADEMA hawawezi kulazimisha Katiba mpya wala tume huru bila ridhaa ya Rais. CCM ilishawapiga pini Watanzania kiasi kwamba hawana mpango wa kujiunga na mapambano ya kudai mabadiliko nchini.
CHADEMA wanatumainia โpeopleโs powerโ kufanikisha ajenda zao. Sasa CCM wameshaipiga pini hiyo peopleโs power. Janja ya CHADEMA imeishia hapo.
Kama chadema inasubiri ridhaa ya rais kupata katiba mpya na bora, na kama unakiri kuwa wananchi wamekubaliana na hali ilivyo Sasa ya kisiasa....basi chadema ifutwe tu.Hata bila kuhadaiwa, CHADEMA hawawezi kulazimisha Katiba mpya wala tume huru bila ridhaa ya Rais. CCM ilishawapiga pini Watanzania kiasi kwamba hawana mpango wa kujiunga na mapambano ya kudai mabadiliko nchini.
Hicho chama kimepoteza dira. Hawana wanalosimamia. Mara utakuta wanapambana na kanisa KKKT, mara Diamond Platinumz, na wakati mwingi sana hupambana na Zitto & ACT kwa ujumla. Hawana agenda wanayoisimamia kwa sasa.Kama chadema inasubiri ridhaa ya rais kupata katiba mpya na bora, na kama unakiri kuwa wananchi wamekubaliana na hali ilivyo Sasa ya kisiasa....basi chadema ifutwe tu.
Kwasabb hatakuja rais yoyote toka ccm akaja akatengeneza katiba bora itakayosaidia kuiondosha ccm madarakani.
Na kama chama cha siasa kimeshindwa kuwashawishi na kuwachagiza wananchi kuunga mkono sera na mitazamo yake basi kifutwe.
Hivi hii Katiba mpya ni kwa faida ya Chadema tu au ni kwa Watanzania wote? Maana naona mkwamo wake unaoneka kwa wengine kama ni kuikomoa Chadema.Hata bila kuhadaiwa, CHADEMA hawawezi kulazimisha Katiba mpya wala tume huru bila ridhaa ya Rais. CCM ilishawapiga pini Watanzania kiasi kwamba hawana mpango wa kujiunga na mapambano ya kudai mabadiliko nchini.
CHADEMA wanatumainia โpeopleโs powerโ kufanikisha ajenda zao. Sasa CCM wameshaipiga pini hiyo peopleโs power. Janja ya CHADEMA imeishia hapo.
Hata ccm haina agenda ndiyo maana utaona mwenyekiti wa ccm (rais):-Hicho chama kimepoteza dira. Hawana wanalosimamia. Mara utakuta wanapambana na kanisa KKKT, mara Diamond Platinumz, na wakati mwingi sana hupambana na Zitto & ACT kwa ujumla. Hawana agenda wanayoisimamia kwa sasa.
CHADEMA NI matapeli hakuna chama hapo NI kikundi cha watu wanaoisapoti ccm! Walisha pata wanachohitaji wanasahau misingi waliojiwekea inshort NI walamba asali wanapenda nusu mkateNi swali tu la Jumamosi,
Unadhani kwanini Mbowe na Mnyika wanang'ang'ania CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa Tume ile ile ya Uchaguzi?
Swali hili linakuja kufuatia kauli ya Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM Mh. Mongella aliyesema kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa kusaka kushika Dola hakuna Kubembelezana.
Sabato Njema.[emoji3][emoji3]
Kwahiyo na nyie mnataka kuwa kama CCM? Nyie ni CCM B?Hata ccm haina agenda ndiyo maana utaona mwenyekiti wa ccm (rais):-
1. Huyu anakataa mikopo mwingine anapoenda.
2. Mmoja anakataa chanjo mwingine anachukua.
3. Mmoja anazuia mikutano ya vyama vya siasa, mwingine anaruhusu.
4. Mmoja anaua na kuwapora watu wake mwingine hauwi Wala hapori.
5. Mmoja anajenga bwawa la Nyerere mwingine anafungulia maji yanamwagika.
N.k
Kwahiyo ccm ndiyo chama kilichokosa mwelekeo kabisa, lkn kipo kwasabb ya dola na katiba mbovu
Hakina ushawishi? Kifutwe? Na nani? Hakuna mwenye ubavu huo. Hata Jiwe alishindwa. Wajinga walimuaminisha kuwa akihamisha na kutandika risasi baadhi ya wakuu wa hicho chama basi kitajifia chenyewe. Didnโt work.Kama chadema inasubiri ridhaa ya rais kupata katiba mpya na bora, na kama unakiri kuwa wananchi wamekubaliana na hali ilivyo Sasa ya kisiasa....basi chadema ifutwe tu.
Kwasabb hatakuja rais yoyote toka ccm akaja akatengeneza katiba bora itakayosaidia kuiondosha ccm madarakani.
Na kama chama cha siasa kimeshindwa kuwashawishi na kuwachagiza wananchi kuunga mkono sera na mitazamo yake basi kifutwe.
Namba 5 ๐๐๐๐๐๐Hata ccm haina agenda ndiyo maana utaona mwenyekiti wa ccm (rais):-
1. Huyu anakataa mikopo mwingine anapoenda.
2. Mmoja anakataa chanjo mwingine anachukua.
3. Mmoja anazuia mikutano ya vyama vya siasa, mwingine anaruhusu.
4. Mmoja anaua na kuwapora watu wake mwingine hauwi Wala hapori.
5. Mmoja anajenga bwawa la Nyerere mwingine anafungulia maji yanamwagika.
N.k
Kwahiyo ccm ndiyo chama kilichokosa mwelekeo kabisa, lkn kipo kwasabb ya dola na katiba mbovu
Inawezekana kabisa ๐CHADEMA NI matapeli hakuna chama hapo NI kikundi cha watu wanaoisapoti ccm! Walisha pata wanachohitaji wanasahau misingi waliojiwekea inshort NI walamba asali wanapenda nusu mkate
Wewe binafsi unatakaje? Wasuse? Kuna wakati hata kama umejivika ukada au unatumika, jaribu kuwaza japo kwa kutumia akili.Ni swali tu la Jumamosi,