Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
HahahahaaAnakwambia sisi tuna watu.watu wenyewe akina kapumbu
wameshindwa hata kumuweka VIPHuyu Mzee viongozi wa Yanga hawampi nafasi na kumthamini, wakati ndiye mwenye mapenzi ya dhati na Klabu. Aliweza kuhamasisha Wanayanga wakati wakiwa wamelala na kuleta uhai.
Badala yake wanampa nafasi mtu 'mnafiki' Kama Haji Manara. Huyu ni alama tosha ya ushabiki wa Yanga
Pumbuuu. Aaah LIPUMBU
Alichoka baada ya kukimbia kuzunguka uwanja halafu na huo umri si unajua hamna zoezi zaidi ya story za kwenye kahawa na bao