Unadhani Kwanini Mzee Mpili Alisinzia Uwanjani

Unadhani Kwanini Mzee Mpili Alisinzia Uwanjani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Picha imeambatanishwa

Maoni yako mdau

FB_IMG_16302667204605085.jpg
 
Duh eti na hii nayo Ni maada kweli kabisa nakuheshimu sana uzalendo installer lakini hi mada Ni ya kishamba
Ova
 
Hivi huyu mzee umaarufu wake uko kwenye kitu gani hasa?
 
Haya mazee sijui huwa yanafanya nini kama si ushirikina? Lipo limoja limeshakufa nalo lilikuwepo klabuni. Badala ya kupumzika nyumbani liko uwanjani na vijana wadogo kutaka umaarufu tu
 
Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Huyu Mzee viongozi wa Yanga hawampi nafasi na kumthamini, wakati ndiye mwenye mapenzi ya dhati na Klabu. Aliweza kuhamasisha Wanayanga wakati wakiwa wamelala na kuleta uhai.

Badala yake wanampa nafasi mtu 'mnafiki' Kama Haji Manara. Huyu ni alama tosha ya ushabiki wa Yanga
 
wameshindwa hata kumuweka VIP
 
Ila Yanga day hainaga udambwi udambwi ratiba ni zile zile hawako organized wakarusha fataki hata speech haijaisha, muda wote ule lakini tuzo muda wa mechi.
Koffi nae kawapiga.
Ndy maana mzee kalala alikua bored.
 
Wanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
 
Back
Top Bottom