mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Wanakunywa, maana inakufanya ujiskie fresh mwenye nguvu na hamasa[emoji1] [emoji1] [emoji1]kwani hii nayo wakina dada wanatumiaga kwelii [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakunywa, maana inakufanya ujiskie fresh mwenye nguvu na hamasa[emoji1] [emoji1] [emoji1]kwani hii nayo wakina dada wanatumiaga kwelii [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ko we iyo pliz ndo upo sahihi au?????????Unazani ndio nini?sexy ni kitu gani?kajifunze kuandika pliz unaandika chenga!
HahahaaaaaaaaWow hiyo ni rahaaa sanaaa,ata mtoto mchanga analijua hilo
Hahaha mh City owl , dah umetishaHakuna raha kama uwe umesmoke marijuana halafu uwe unaangalia movie ya comedy. Yaani utacheka mpaka una-pause movie uendelee kucheka kwanza..
Hahaha u made ma dayHakuna raha kama uwe umesmoke marijuana halafu uwe unaangalia movie ya comedy. Yaani utacheka mpaka una-pause movie uendelee kucheka kwanza..
Hakuna raha kama uwe umesmoke marijuana halafu uwe unaangalia movie ya comedy. Yaani utacheka mpaka una-pause movie uendelee kucheka kwanza..
Hii raha sanaKunya, hasa ukiwa choo cha home huku ukiendelea kuchat. Angalizo:choo kiwe cha kukaa
![]()
Chagua saiz inayokufaa
Heshima kwako bundi wa mjini,hapa niko na dume og ya chuga ngaree,nashtua akili kidogo na kumeditate,reggae music in the background.life is good..
Kama cha Arusha basi hiyo 1/2 gram inanitosha. 1 asubuhi 1 jioni. Lakini kama za mikoani hizi basi, 1 gram ndo saizi yangu. 1 alfajiri.. 1 usiku.
Heshima kwako mkuu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu hyo vita sasa !!!!!Hivi ushakula kitimoto wewe ? Hata uje na Beyonce siwezi acha kula kitimoto.
Vita gani Tena candyscopion?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu hyo vita sasa !!!!!