Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Je,
hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini?
Au,
hawakubaliki wala kuaminika kukosa kwao uzalendo kwa Taifa, na kupuuza mila, desturi na utamaduni wa kiTanzania na kuutukuza umagharibi hususani mambo ya ndoa za jinsia moja, utoaji mimba na ufirauni kama haki ya binadamu?
Hawaaminiki na kukubalika kwa kwasababu ya kukosa kwao hekima na busara kwa maneno na vitendo vyao? Na kwamba kiburi, ujeuri, uzushi na uongo kwao ndio ujasiri?
Kwanini press conference zao, maelezo na ufafanuzi wao kuhusu mambo mballimbali kumuhusu mwenyekiti wa Chadema Taifa na chadema kwa ujumla hupuuzwa ndani ya muda mfupi tu na kwanini maelezo na ufafanuzi wa Ezekia Wenje umekubalika zaidi na kubabaika kabisa hali na uelekeo wa uchaguzi wa chadema?
Je,
maelezo ya akina Lisu, Lema na Heche hua ni uongo na uzushi, au tu wamekosa uhalali kwa wanainchi na sasa wanaonekana ni kama watu waliokata tamaa, watu wanaotaka kurevenge lakini hawana uwezo?
Nini maoni yako my friends ladies and gentlemen?π
Mungu Ibariki Tanzania