Gentleman,πππππ
View attachment 3206115
Takataka +Je,
hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini?
Au,
hawakubaliki wala kuaminika kukosa kwao uzalendo kwa Taifa, na kupuuza mila, desturi na utamaduni wa kiTanzania na kuutukuza umagharibi hususani mambo ya ndoa za jinsia moja, utoaji mimba na ufirauni kama haki ya binadamu?
Hawaaminiki na kukubalika kwa kwasababu ya kukosa kwao hekima na busara kwa maneno na vitendo vyao? Na kwamba kiburi, ujeuri, uzushi na uongo kwao ndio ujasiri?
Kwanini press conference zao, maelezo na ufafanuzi wao kuhusu mambo mballimbali kumuhusu mwenyekiti wa Chadema Taifa na chadema kwa ujumla hupuuzwa ndani ya muda mfupi tu na kwanini maelezo na ufafanuzi wa Ezekia Wenje umekubalika zaidi na kubabaika kabisa hali na uelekeo wa uchaguzi wa chadema?
Je,
maelezo ya akina Lisu, Lema na Heche hua ni uongo na uzushi, au tu wamekosa uhalali kwa wanainchi na sasa wanaonekana ni kama watu waliokata tamaa, watu wanaotaka kurevenge lakini hawana uwezo?
Nini maoni yako my friends ladies and gentlemen?π
Mungu Ibariki Tanzania
Wanaaminika sana na watanzania ndio maana genge la Mwamba wazamishe wa washirika wao wakijani wamekosa usingizi kiasi cha kukaribia kufa kwa shida ya kutopata usingizi hadi chawa walio wapa jukumu la kuwadunisha kushindwa jukumu hilo ovu.Kwani watanzania wako macho na wameshatoka kipindi cha kudanganywa na kudanganyika.Je,
hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini?
Au,
hawakubaliki wala kuaminika kukosa kwao uzalendo kwa Taifa, na kupuuza mila, desturi na utamaduni wa kiTanzania na kuutukuza umagharibi hususani mambo ya ndoa za jinsia moja, utoaji mimba na ufirauni kama haki ya binadamu?
Hawaaminiki na kukubalika kwa kwasababu ya kukosa kwao hekima na busara kwa maneno na vitendo vyao? Na kwamba kiburi, ujeuri, uzushi na uongo kwao ndio ujasiri?
Kwanini press conference zao, maelezo na ufafanuzi wao kuhusu mambo mballimbali kumuhusu mwenyekiti wa Chadema Taifa na chadema kwa ujumla hupuuzwa ndani ya muda mfupi tu na kwanini maelezo na ufafanuzi wa Ezekia Wenje umekubalika zaidi na kubabaika kabisa hali na uelekeo wa uchaguzi wa chadema?
Je,
maelezo ya akina Lisu, Lema na Heche hua ni uongo na uzushi, au tu wamekosa uhalali kwa wanainchi na sasa wanaonekana ni kama watu waliokata tamaa, watu wanaotaka kurevenge lakini hawana uwezo?
Nini maoni yako my friends ladies and gentlemen?π
Mungu Ibariki Tanzania
inawezekana wanaokubalika mitandaoni na watu wasio wajumbe au wanachama wa chadema,Wanaaminika sana na watanzania ndio maana genge la Mwamba wazamishe wa washirika wao wakijani wamekosa usingizi kiasi cha kukaribia kufa kwa shida ya kutopata usingizi hadi chawa walio wapa jukumu la kuwadunisha kushindwa jukumu hilo ovu.Kwani watanzania wako macho na wameshatoka kipindi cha kudanganywa na kudanganyika.
Uzuri ni kuwa hata babu yako nimemsikia akimuunga mkono Lissu sasa inabidi ujitafakari wewe ni halisi kutoka kiuno chake au ni vinginevyo?Je,
hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini?
Au,
hawakubaliki wala kuaminika kukosa kwao uzalendo kwa Taifa, na kupuuza mila, desturi na utamaduni wa kiTanzania na kuutukuza umagharibi hususani mambo ya ndoa za jinsia moja, utoaji mimba na ufirauni kama haki ya binadamu?
Hawaaminiki na kukubalika kwa kwasababu ya kukosa kwao hekima na busara kwa maneno na vitendo vyao? Na kwamba kiburi, ujeuri, uzushi na uongo kwao ndio ujasiri?
Kwanini press conference zao, maelezo na ufafanuzi wao kuhusu mambo mballimbali kumuhusu mwenyekiti wa Chadema Taifa na chadema kwa ujumla hupuuzwa ndani ya muda mfupi tu na kwanini maelezo na ufafanuzi wa Ezekia Wenje umekubalika zaidi na kubabaika kabisa hali na uelekeo wa uchaguzi wa chadema?
Je,
maelezo ya akina Lisu, Lema na Heche hua ni uongo na uzushi, au tu wamekosa uhalali kwa wanainchi na sasa wanaonekana ni kama watu waliokata tamaa, watu wanaotaka kurevenge lakini hawana uwezo?
Nini maoni yako my friends ladies and gentlemen?π
Mungu Ibariki Tanzania
Amelipwa, lakin sasa jitahada zake hazisaidiinaona unaanzisha negative thread kuhusu Lissu kila baada ya sekunde 10
taasisi zingine ndani ya chadema zime mchagua nani?acha upotoshaji gentleman,
alimuindorse nani BAWACHA? alieshinda au hakushinda?
hiyo inamaanisha nini kisiasa?π