Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Je,
Ni kwasababu tu ya umakini na umadhubuti wa serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, kugusa kila hitaji na kipaumbele cha wananchi na waTanzania wote, hasa inapotekelezwa ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030?
Au ni kwasababu ya ubovu na udhaifu wa viongozi wa upinzani katika ujumla wake?
Maana sote ni mashuhuda wa jinsi upinzani Tanzania unavyoyumba kama mlevi tu.
Yaani upo upo tu. hivi kweli wapinzani Tanzania wamekosa watu kabisa wa kuwaongoza mpaka wamefikia hatua ya kukosa agenda?
Na mbaya zaidi upinzani wa Tanzania, umekua kama mtu mwenye stress mpaka kufikia hatua ya kuongea pekeyake tu huko mabarabarani apitapo.
Yaani wakiitisha press conference inakua ni kama vile kikao cha familia tu, wanaelezana mambo yao wenyewe na hakuna wa kuwatilia maanani, hakuna wa kuwajibu, hakuna wa kuwasikiliza wala kuwatia moyo.
Kama mdau wa siasa,
unadhani changamoto hasa ni nini ndani ya upinzani wa Tanzania, mpaka kukosa kabisa agenda na badala yake kujikita kwenye press conference zisizo na athari wala tija, uropokaji na makelele ya matamko?
Mungu Ibariki Tanzania.