Unadhani ni kwanini Wanawake wanapenda sana Sherehe/ Shughuli?

🤣🤣🤣🤣Kuna mdogowangu alilipia kadi laki 1 akanipa niende nilishindwa kwenda nilikosa kampan roho iliniuma sana utasema Ile Hela mm ndo nimetoa 🤣🤣🤣
Kuna wanawake wana hii tabia ya kununua kadi za harusi ili tu nao waende harusini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza tangu nimezaliwa sijawah hata kufanya sherehe ya birthday [emoji1787][emoji1787][emoji1787]iyo keki nilikata mara moja kiuvhovu uchovu nimezeeka mm aunt
Bado hujanidanganya shangazii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuonesha tu wamevaa nini!
Manywele ya wafu vichwani,magauni ya rangirangi,makucha ya bandia,malipustiki,mapafyumu ya ajabu ajabu na maviatu yaliyonyanyuka kwenye visigino yasiyo na sababu za maana
Unadhan shape zao tutazionea shamban[emoji23]
 
Mimi nafataga kula tu [emoji23]nichangie alaf nisiende kula thubutu

Kunasiku nilipoteza kadi ya chakula nilivurugwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napenda sana mtu mwenye confidence especially kweny kula, huwa tunafit sana
 
Mwanamke kwa Asili yake Anapenda kutambuliwa uwepo Wake hasa kwenye makusanyiko mengi ya Watu Ndio maana wanapenda sana kupendeza ktk mashughuli
Upo sahihi,ukijumlisha na nyota yangu ya Leo we acha tu....sherehe ziwe nyingi nyingi jamani🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…