Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
Kuna wanawake wana hii tabia ya kununua kadi za harusi ili tu nao waende harusini.🤣🤣🤣🤣Kuna mdogowangu alilipia kadi laki 1 akanipa niende nilishindwa kwenda nilikosa kampan roho iliniuma sana utasema Ile Hela mm ndo nimetoa 🤣🤣🤣