Unadhani ni kwanini Wanawake wanapenda sana Sherehe/ Shughuli?

Pesa za kufanya sherehe zinaweza kukusaidia baadae wakati watu unaoserebuka nao sasa hivi hawapo.
 
😂😂😂Kwanza tangu nimezaliwa sijawah hata kufanya sherehe ya birthday 🤣🤣🤣iyo keki nilikata mara moja kiuvhovu uchovu nimezeeka mm aunt
Embu tukuone kweri kama kikongwe😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…