Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Mashindano? Sijui, sipendi ile hali ya mrundikano wa watu.Hupendi mashindano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashindano? Sijui, sipendi ile hali ya mrundikano wa watu.Hupendi mashindano
HujiaminiMashindano? Sijui, sipendi ile hali ya mrundikano wa watu.
Naweza hata nisile sana nisije haribu muonekano wa kitumbo ndii.... issues ya kwanza ni kupendeza aiseeUpendi vyuku dada ?
Kuna shida yoyote mwanamke kutopenda sherehe?Hujiamini
...Kupendeza tu,na ku roll roll tu Sina la zaidi dada yako....
🤣🤣🤣 Eeeh ndio hivyo
Imekaa vzr sana🤣🤣🤣 Eeeh ndio hivyo
Asante Kwa support😁..Imekaa vzr sana
Pamoja sanaAsante Kwa support😁..
Itakua ulipendeza sana ktk kitchen party gala ..Asante Kwa support😁..
🤣🤣🤣Yaani wewe uko update sana na vimambo vya mji huuItakua ulipendeza sana ktk kitchen party gala ..
Hahahahaha. Na hapo nakaa kijijini .Kuna Malkia wa Nguvu pia🤣🤣🤣Yaani wewe uko update sana na vimambo vya mji huu
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu hii comment yako imenifurahishaKuonesha tu wamevaa nini!
Manywele ya wafu vichwani,magauni ya rangirangi,makucha ya bandia,malipustiki,mapafyumu ya ajabu ajabu na maviatu yaliyonyanyuka kwenye visigino yasiyo na sababu za maana
😆😆😆😆Kumbe noma haw wviumbe wa Mungu
Uongo uoMimi ni mmoja kati ya wachache wasiopenda kabisa sherehe.
Embu tukuone kweri kama kikongwe😎😂😂😂Kwanza tangu nimezaliwa sijawah hata kufanya sherehe ya birthday 🤣🤣🤣iyo keki nilikata mara moja kiuvhovu uchovu nimezeeka mm aunt
Uongo uoSipendi hekaheka