Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mmoja kati ya wachache wasiopenda kabisa sherehe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi acha fix, wee c ulishiba jikoni jamani?Mimi nafataga kula tu [emoji23]nichangie alaf nisiende kula thubutu
Kunasiku nilipoteza kadi ya chakula nilivurugwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwanini hupendi?Mimi ni mmoja kati ya wachache wasiopenda kabisa sherehe.
Sababu ya kwanza hii.Mimi nafataga kula tu 😂nichangie alaf nisiende kula thubutu
Kunasiku nilipoteza kadi ya chakula nilivurugwa balaa🤣🤣🤣🤣
Sijawahi penda sherehe ila kuna muda napenda kusikiliza music...so huwa natoka out sometimes
Mbona umeenda OPIIIISijawahi penda sherehe ila kuna muda napenda kusikiliza music...so huwa natoka out sometimes
Kwakweli mm mambo mengine hapana Nile niondoke nikalale 😂😂😂huku nyuma watajuana wenyewe na hata Kwa rafikizangu ambao tuko mbali ikinilazimu kuchanga nachanga ila lazima nimtume mtu akale 🤣🤣🤣🤣Sababu ya kwanza hii.
😂 watu wa TA ndivyo mlivyo sishangaiKwakweli mm mambo mengine hapana Nile niondoke nikalale 😂😂😂huku nyuma watajuana wenyewe na hata Kwa rafikizangu ambao tuko mbali ikinilazimu kuchanga nachanga ila lazima nimtume mtu akale 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Kuna mdogowangu alilipia kadi laki 1 akanipa niende nilishindwa kwenda nilikosa kampan roho iliniuma sana utasema Ile Hela mm ndo nimetoa 🤣🤣🤣😂 watu wa TA ndivyo mlivyo sishangai
Sipendi tu hekaheka huwa nahisi usumbufu 🤦kwanini hupendi?
Nabadilisha mandhari 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi acha fix, wee c ulishiba jikoni jamani?
😂😂😂Kuonesha tu wamevaa nini!
Manywele ya wafu vichwani,magauni ya rangirangi,makucha ya bandia,malipustiki,mapafyumu ya ajabu ajabu na maviatu yaliyonyanyuka kwenye visigino yasiyo na sababu za maana
Thubutuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nabadilisha mandhari [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Kwanza tangu nimezaliwa sijawah hata kufanya sherehe ya birthday 🤣🤣🤣iyo keki nilikata mara moja kiuvhovu uchovu nimezeeka mm auntThubutuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]