Unadhani ni kweli Hayati Magufuli aliiona Tanzania ikiwa nchi ya kutoa misaada kwa nchi zingine?

Unadhani ni kweli Hayati Magufuli aliiona Tanzania ikiwa nchi ya kutoa misaada kwa nchi zingine?

Trable

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
1,781
Reaction score
3,288
Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada?

#Unapoitazama SGR unaona nini

#JKNHP, unaona nini

#Kauli mbiu ya viwanda, wewe unaona nini

#Ununuzi wa ndege Je.

#Upanuzi wa Bandari

#Madaraja makubwa n.k

Na kama siyo, una maoni gani pia
 
Tumeshaanza utekelezaji tayari kwa kutoa msaada Turkey 🇹🇷 na Malawi 🇲🇼.
Wenye kubisha waendelee kusubiri, sisi tunachanja mbuga, na kazi aliyoanzisha mwamba inaendelea.
 
Back
Top Bottom