Unadhani ni maneno gani ya kizazi hiki yanaweza kutumika kama misemo ya wahenga

Unadhani ni maneno gani ya kizazi hiki yanaweza kutumika kama misemo ya wahenga

Sammy1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2019
Posts
300
Reaction score
309
Niaje mdau unayesoma huu uzi, kama kichwa cha habari kinavyosema unahisi watoto wetu watatumia maneno gani kama misemo iliyosemwa na watu tuliopo kizazi hiki.

Weka comment yako chini mtu wangu tuone yatakuwa ni yapi.
 
Back
Top Bottom