Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali.
Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa mchezo dk ya 5 TU ikamaliza mchezo. Hii ni dharau kwenye soka letu haiwezekani timu itoke mbali huko Misri ije icheze na kuchukua ushindi ndani ya dk 5.
Huku tukishuhudia sajili bora kabisa mchezaji machachari na mshambuliaji hatari aliyesajiliwa kwa gharama kubwa kuja timu KUBWA kijana mdogo FREDY akikaa benchi na kusubiri kwenda kuwafunga Al Ahaly nyumbani kwao.