Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
actually sio udhaifu, ni ilifanya makosa kidogo wengine wakayatumia kama fursa kujipatia ushindi 🐒Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali.
Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa mchezo dk ya 5 TU ikamaliza mchezo. Hii ni dharau kwenye soka letu haiwezekani timu itoke mbali huko Misri ije icheze na kuchukua ushindi ndani ya dk 5.
Huku tukishuhudia sajili bora kabisa mchezaji machachari na mshambuliaji hatari aliyesajiliwa kwa gharama kubwa kuja timu KUBWA kijana mdogo FREDY akikaa benchi na kusubiri kwenda kuwafunga Al Ahaly nyumbani kwao.
Naona umeacha kushabikia mpira siku hz..baada ya ushauri wako wa usajiri simba kupuuzwa
Mkuu kama umepanic hivi .easy tu acha watu wapende soka..hahahahahaUkishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali.
kijana mdogo FREDY akikaa benchi na kusubiri kwenda kuwafunga Al Ahaly nyumbani kwao.
Naona umeacha kushabikia mpira siku hz..baada ya ushauri wako wa usajiri simba kupuuzwa
Hahahahaha ndio maana una hasira nao...tunaeza tukawa tunajuana..Sio tu usajili ndugu.
Nimefanya kazi simba na akina senzo part time.
Msistizo wetu mkubwa ulikuwa ni.
UWEKEZAJI BORA
UONGOZI BORA
WACHEZAJI BORA.
Tukatatimuliwa
🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja twende moja kwa Moja Kwenye jibu....
Timu Dhaifu ni Utopolo.
Na SA anapigwa kipigo Cha Mbwa Koko.
Na jangwani je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sipendi kusema sana lkn ile inaitwa msimbazi ni aibu sana tena sana
timu kubwa yenye malengo na focusNa jangwani je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]